Nassari aisifia serikali

Nassari aisifia serikali

lol hahahaha ulianzisha uzi wa nini kama huna ushahidi wa kutosha kutetea ulichoandika? Hayo mazuri ya Serikali unayaona katika nyanja zipi nilizoziweka hapo juu!?

Nenda kamuulize nassari yeye ndio alisema leo mbele ya pinda serikali imefanya mambo mengi mazuri na akazidiashia kwa kusema myonge nyongeni haki yake mpeni...sasa sijui kwenye nyanja ipi na yeye ni mpinzani kayaona hayo mazuri na alisema pia pamoja mimi ni mpizani lakini mazuri ya serikali nayaona
 
Huwa nawashangaa hawa wabunge wa upizani haswa cdm wakiwa bungeni hukosa sana heshima kwa serikali hajabu wakitoka nje ya bunge wakiwa na hao viongozi wa serikali kwenye majukwaa husifia serikali imefanya mambo makubwa na kwa maneno yake mwenyewe amesema leo mbele ya pinda mnyonge mnyongeni haki yake mpeni serekali nawapongeza kwa kazi nzuri mlofanya hapa..

Sasa najiuliza wale wasoona jema lolote la serikali huwa wao hawana macho na masikio!?au viongozi wenu ndio wanafiki!?

Hata saa mbovu, mara mbili kwa siku inakuwa sahihi!

Amandla...........
 
lol hahahaha ulianzisha uzi wa nini kama huna ushahidi wa kutosha kutetea ulichoandika? Hayo mazuri ya Serikali unayaona katika nyanja zipi nilizoziweka hapo juu!?
Kwa taarifa yako hayo maneno mimi ni mpinzani na mazuri nayaona ameyasema nasari not me kama ulikua ujanielewa..kwaiyo nenda kamuulize yeye ndio anae yaona hayo mazuri mbona mgumu kuelewa we kijana aaaah
 
Huwa nawashangaa hawa wabunge wa upizani haswa cdm wakiwa bungeni hukosa sana heshima kwa serikali hajabu wakitoka nje ya bunge wakiwa na hao viongozi wa serikali kwenye majukwaa husifia serikali imefanya mambo makubwa na kwa maneno yake mwenyewe amesema leo mbele ya pinda mnyonge mnyongeni haki yake mpeni serekali nawapongeza kwa kazi nzuri mlofanya hapa..

Sasa najiuliza wale wasoona jema lolote la serikali huwa wao hawana macho na masikio!?au viongozi wenu ndio wanafiki!?

Hata mtu akifariki mabaya yote aliyo kuwa anayafanya wakati yuko hai husahaulika na kumwagiwa sifa kemukemu za mazuri huongezea na mazuri ambayo hakuwahi kuyafanya kipindi cha uhai wake wote.
 
Huwa nawashangaa hawa wabunge wa upizani haswa cdm wakiwa bungeni hukosa sana heshima kwa serikali hajabu wakitoka nje ya bunge wakiwa na hao viongozi wa serikali kwenye majukwaa husifia serikali imefanya mambo makubwa na kwa maneno yake mwenyewe amesema leo mbele ya pinda mnyonge mnyongeni haki yake mpeni serekali nawapongeza kwa kazi nzuri mlofanya hapa..

Sasa najiuliza wale wasoona jema lolote la serikali huwa wao hawana macho na masikio!?au viongozi wenu ndio wanafiki!?

mkuu ebu tulia ueleweke heading na ulichoandika mbona havioani?
Nikukumbushe kazi ya wabunge siyo kusifia serikali na wala utendaji wa serikali autegemei sifa za wabunge
 
heading na nilichoandika ndani utofauti wake ni nini?alichofanya yeye ni kusifia serikali kwani ni dhambi!
 
wewe ndiyo umesikia au kuona alichosema nasari sasa ameisifia serikali kwenye lipi na wapi?na kuna ukweli wa hizo sifa?
Kwenye habari yako umeanza kwa kuwaponda wabunge wa upinzani kuwa vinara wa kuiponda serikali bungeni lakini pindi wanapokuwa uraiani wanaisifia.
 
namshauri nassari asiogope kusifu pale mambo yanaonesha mwelekeo lakini namshauri aanzie mbali kidogo ili kujenga base anashindwa kuformulate mada zake vizuri ndiyo maana watu wanamshangaa nahisi kwa sababu ni mchanga katika siasa alaf anataka kufuata mwendo wa lema lakini lema anakipaji cha kusema yeye huyu anatumia points nyepesi sana. namshauri asikurupe avute pumzi alaf ndiyo aingilie mada na kuchangia. mafano hapa angesema katika kipindi cha miaka kadhaa iliyopita serikali ilishindwa kubuni njia ya kutatua tatizo la vitabu lakini kwa msaada huu taasia mpya ya kisayansi naona wanaanza kupata mwanga nawapongeza ka jitihada hz na nashauri utafiti na msaada huu wa wataalam wa chuo cha tech arusha uungwe mkono la wadau wote na serikali ijitahid kuongeza budget kwa chuo hichi ili huduma hii ifikie kila mwanafunzi wa kitanzania kwani ni mkombozi wa tatizo la vitabu nchini. alaf amalizie kwa kuwaomba wabunge wote bila kujali itikadi zao kuibana serikali kusaidia taasisi hii inayoonesha njia.
 
Nduguyangu kuwa mbunge wa chama pinzani haina maana kila jambo wewe ni kupinga,mara nyingi wabunge wanapokuwa bungeni huonekana wakipinga maswala mengi ya serikali kwakuwa hujadili kwa ujumla wa hoja kulingana na maslahi ya nchi nzima. lakini hoja hiyo hiyo inakuwa na manufaa kwa baadhi ya maeneo kwahiyo kama serikali imefanya jema jimboni kwake muungwana yeyote lazima apongeze ,TAN......A nchi yetu tutaijenga pamoja
Huwa nawashangaa hawa wabunge wa upizani haswa cdm wakiwa bungeni hukosa sana heshima kwa serikali hajabu wakitoka nje ya bunge wakiwa na hao viongozi wa serikali kwenye majukwaa husifia serikali imefanya mambo makubwa na kwa maneno yake mwenyewe amesema leo mbele ya pinda mnyonge mnyongeni haki yake mpeni serekali nawapongeza kwa kazi nzuri mlofanya hapa..

Sasa najiuliza wale wasoona jema lolote la serikali huwa wao hawana macho na masikio!?au viongozi wenu ndio wanafiki!?
 
Huwa nawashangaa hawa wabunge wa upizani haswa cdm wakiwa bungeni hukosa sana heshima kwa serikali hajabu wakitoka nje ya bunge wakiwa na hao viongozi wa serikali kwenye majukwaa husifia serikali imefanya mambo makubwa na kwa maneno yake mwenyewe amesema leo mbele ya pinda mnyonge mnyongeni haki yake mpeni serekali nawapongeza kwa kazi nzuri mlofanya hapa..

Sasa najiuliza wale wasoona jema lolote la serikali huwa wao hawana macho na masikio!?au viongozi wenu ndio wanafiki!?
Nassari anaipinga serikali inapokosea na pia anaisifia serikali ikifanya vizuri.
Kuna tatizo gani sasa hapo???

Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
 
Alikuwa sahihi sana kusema hivyo. Hiyo ndiyo siasa inayotakiwa kusema jambo sahihi, mahali sahihi kwa muda mwafaka. Hilo halina uhusiano kabisa na mambo ya bungeni. Ikumbukwe hata bungeni kuna mambo ambayo wapinzani wanakubaliana kabisa na serikali au na wabunge wa chama tawala. Kuwalaumu kuwa mara wanailaumu serikali, ni sahihi kwao kuilaumu. Lakini pale serikali inapofanya kazi yake ni vema pia kutambua kazi hiyo hata kama ni wajibu wa serikali kufanya hivyo. Ifike mahali wanaJF kufahamu siasa za vyama vingi maana yake nini otherwise utaona kama wapinzani hawafanyi kazi hivi kumbe wanasaidia sana nchi hii. Wnaisaidia sana serikali. Hao wanaitwa "WATCHDOG). Kama kungekuwa hakuna upinzani mambo yanegkuwa mabaya sana nchi hii hasa wakati huu wa uchumi wa kiliberali (liberal economy). So Nassari was right. It will be unthinkable if the government is always doing nothing from A2Z. I like such kind of politics. However the oppositions are doing wonders. Big-up to them.
Mtumishi
 
Back
Top Bottom