Nassari Agawa CD Kwenye Mkutano wa Kampeni

Nassari Agawa CD Kwenye Mkutano wa Kampeni

Meru sio chato wewe kunguni!! Chato ndo wanahitaji mkate Meru walishaamka siku nyingi mkate sio ishu kwao.
Wewe Meru hali ni mbaya mkuu tumefanyakazi huko ila kama unataka kusema ni ulaya basi... ngoja tupeleke maendeleo Chato ambako hawajamka!! Hivyo usilalamike tena!
 
Dawa ya CCM ni kuwashitaki kwa wananchi; hiyo ndiyo dawa pekee, kwenda kwingine ni kujichosha tu.

Dawa ya kuiondoa CCM siyo kwa siasa hizo za kitoto, ati Dawa ya CCM ni kuwashitaki kwa wananchi!

Hoja ya kipuuzi kabisa! Kwamba Mbunge athibitisha, kwa CD, madiwani wa CHADEMA ni wasaliti na wananunulika, kama siyo kuushitaki uongozi wa chama kuwa unateua watu wasioaminika, ni nini! Kwa nini wananchi wasiamini pia huyo diwani mteule wao akichaguliwa, naye awatas!aliti wapiga kura na kununuliwa!

UTOTO HUO - AIBU
 
Hizi akili mkaa? CD 500 ni pesa nyingi kwanini asifanye jambo la maendeleo ili wananchi wawachague Chedema kwa mazuri yao? Akili zingine bhana haya TUTACHAGUA CCM hadi mtakapo badilika.
CD 500 costing yake ni 150,000. Hata wewe hela aliyotumia mzee wako kwa elimu ya kwako angeweza kujenga nyumba lakini hakufanya hivyo!
 
Tutakwenda kuangalia kwenye kumbi na mbavu za umbwa bureeeee bila kiingilio ili mradi tu tumtambue na kumjua shetani na kisha kumkataa....!!
Meru haina hivyo vibanda vya kideo...kumbe hata hamuijui meru ilivyo
 
Badala ya kujiita Mwanahabari wa CHADEMA au anayefungamana na CHADEMA wewe unajiita Mwanahabari huru!!
 
Meru haina hivyo vibanda vya kideo...kumbe hata hamuijui meru ilivyo

Pole sana...

Naijua vizuri Meru. Naandika nikiwa huku juu Sakila mlimani karibu kabisa na Sakila International Evangelism Center kwa mzee Askofu Eliud Issangya wa International Evangelism Church....

Na jirani kipo kibanda mbavu za mbwa wazee kwa vijana, watoto na kina mama kabla ya mechi ya EPL kati ya WATFORD vs WESTHAM UNITED waliwekewa hiyo CD hata sielewi iliwezaje kufika mlimani muda ule....

Kwa hiyo, najua nisemalo na najijua kuliko unavyojielewa wewe!!
 
Kwani ni ukabila kusema chato ni masikini? Hamtaki kuambiwa ukweli mbunge wenu wa chato miaka 20 kawaongezea umaskini
Monduli ndio tajiri basi, furahia.
Hizo dharau, kejeli na matusi yenu dhidi ya watu wa kanda ya ziwa yatawadondosha vibaya. Mliwatukana wakwere sana sababu tu ya JK na sasa mmeanza kuwatukana wasukuma sababu ya chuki zenu tu, wabaguzi wakubwa nyie.
 
Monduli ndio tajiri basi, furahia.
Hizo dharau, kejeli na matusi yenu dhidi ya watu wa kanda ya ziwa yatawadondosha vibaya. Mliwatukana wakwere sana sababu tu ya JK na sasa mmeanza kuwatukana wasukuma sababu ya chuki zenu tu, wabaguzi wakubwa nyie.
Kan.ye ziwani huko
 
Back
Top Bottom