Nassari Agawa CD Kwenye Mkutano wa Kampeni

Nassari Agawa CD Kwenye Mkutano wa Kampeni

Acheni mawazo mfu, kama shauri lipo PCCB kwanini inachukua muda mpaka sasa bila kuchukua hatua? CD zinaonesha kila kitu, wanasubili nini, badala yake watuhumiwa wameshakuwa promoted kuwa maRC mbali na shutuma zinazowaelekea halafu mnasema wasubiri
Mwambie atuletee na CD za ufisadi wa mamvi
 
Bombardier inakuza utalii na uchumi kwa ujumla je CD bila deki ina maana gani?
Bomberdier chato inaenda kubeba magunia ya mkaa au, wananchi wa chato hata nauli ya kupanda fuso la mizigo hawana
 
Meru sio Usukumani, uko kweny hakuna ata umeme.
Sio kweli,kuwepo kwa umemo sio kumiliki TV na Deki,mimisipo usukumani nipo Arushalakin wabara wengi tv kumiliki ni ishu sana ila kwetu unguja unweza kupewa bure au ulipe elfu 20 unapata TV ya deki wngeweza kutizama cd zao.
 
Hizi akili mkaa? CD 500 ni pesa nyingi kwanini asifanye jambo la maendeleo ili wananchi wawachague Chedema kwa mazuri yao? Akili zingine bhana haya TUTACHAGUA CCM hadi mtakapo badilika.

Jambo la kwanza la maendeleo, ni kumkataa shetani (CCM) na wafuasi wake kwanza kwa gharama yoyote ile....

500 ni kidogo sana, ilipaswa kila mwananchi aliyehudhuria pale hata kama wangekuwa 10,000 kila mmoja apate moja ili afunguliwe macho na ufahamu wa kumkataa shetani...!!
 
Hizi akili mkaa? CD 500 ni pesa nyingi kwanini asifanye jambo la maendeleo ili wananchi wawachague Chedema kwa mazuri yao? Akili zingine bhana haya TUTACHAGUA CCM hadi mtakapo badilika.
Na zile pesa walizonunulia madiwan kwann wasingefanya jambo la maendeleo ili wananchi wasiendelee kuteseka, ama zile mnazoenda kutupa chato kwa kujengea punda uwanja wa ndege kwann msizitumie kwenye jambo la maendeleo linamgusa mwanchi wa hali ya chini kama kuwaletea maji, dawa hospital, umeme, barabarani na madawati shuleni....pumbavu tutaipinga CCM paka muondoke majizi nyinyi.
 
Jambo la kwanza la maendeleo, ni kumkataa shetani (CCM) na wafuasi wake kwanza kwa gharama yoyote ile....

500 ni kidogo sana, ilipaswa kila mwananchi aliyehudhuria pale hata kama wangekuwa 10,000 kila mmoja apate moja ili afunguliwe macho na ufahamu wa kumkataa shetani...!!
Tatizo Deki na TV sasa
 
View attachment 633648

Unagawa CD kwa wananchi wanaohitaji mkate?Kweli Nassari kaishiwa hoja.
Hajaishiwa hoja,hapa shida siyo mkate,bali fikra yakinifu ambayo itakuja kukuletea maendeleo.Isipokuwa chama cha zamani kinasababisha watu washindwe kujinunulia mkate ili wawape huo mkate wakati wa uchaguzi ikiwa ni sehemu ya rushwa..Huu ni upumbavu kwelikweli.
 
Na zile pesa walizonunulia madiwan kwann wasingefanya jambo la maendeleo ili wananchi wasiendelee kuteseka, ama zile mnazoenda kutupa chato kwa kujengea punda uwanja wa ndege kwann msizitumie kwenye jambo la maendeleo linamgusa mwanchi wa hali ya chini kama kuwaletea maji, dawa hospital, umeme, barabarani na madawati shuleni....pumbavu tutaipinga CCM paka muondoke majizi nyinyi.
KIA ilijengwa mjini?
 
kunahaja ya kutafakari sana mambo haya.
Kunammoja aliwaambia wakasome ilani ya chama kwenye website - bila hata kujua kwamba wengine wengi hawajui hata hiyo website ni nini.
Mwingine anagawa cd kwenye mkutano- hajui kwamba wananchi walio wengi hawajawahi hata kufikiria kuwa na hata radio ya kutumia cd!
Mkishindwa mnadai mmeibiwa.
 
Back
Top Bottom