Naskiaga tu kuna madhara ya puli!

Naskiaga tu kuna madhara ya puli!

Kila kitu kina madhara ukikizidisha! Mgalala hauna madhara hasa ukipiga kwa interval mfano kwa mwezi mara moja! Naamini hutokuja kuona madhara yake lakini ukifanya kama chai! Aiseee itakucost!
 
asee bora uwe unanunua vitondo hata vya buku buku utakuja umbuka ukiendekeza sana hiyo ujinga utakuwa unapiga moja
 
Hawataki upige tu hao,ina raha kuliko papuchi. We jiwashe tu mkuu.
 
Back
Top Bottom