Naskiaga tu kuna madhara ya puli!

Naskiaga tu kuna madhara ya puli!

Haina mAdhara yoyote mkuu wee pekecha pekecha tuu dyudyu maana wanawake saivi hawaaminiki kabisa
 
Puli ni tamu mzee, lakini mbaya sana... Usijaribu!
 
Usiwasikilize hao, ukiwaambia madhara ni yapi wanabaki kujiuma uma..

Mtu ana matatizo yake binafsi anasingizia puli.. Chondechonde msiipake puli uchafu jamani, watu wakaiogopa..
nimecheka kwa loudly

post using my macbook air using jamiiforums app
 
Katika maisha tunayoishi hakuna jambo ambalo binadamu atalifanya likakosa madhara isipokua kuwa mambo yanayohusu dini.

Magari yana madhara kwakua kila siku yanaua lakini ndo kwanza kila MTU anataka awe nalo.

Kupanda ndege kuna madhara maana ikitokea ajali kupona ni bahati sana.

Kula chakula kuna madhara maana ndo kunatufanya tuzeeke.

Kuzaa kuna madhara maana akina mama wanakua kwenye hatari ya kuoteza maisha wakati wa kujifungua.

Kusoma kuna madhara maana kunatupotezea muda mwingi zaidi na hivyo kuchelewa mambo mengine ya kimaisha.

Hata kufanya mapenzi kuna madhara maana kinatupotezea muda,na kutumalizia nguvu za uzalishaji Mali.

Sex inaleta magonjwa,ugomvi,chuki na mengi sana mabaya.

Hivyo kila kitu kina madhara.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Okoa muda...okoa pesa..epuka magonjwa na stress..piga puli
 
endeleza mapambano wala usihofu.... hakuna madhara yoyote piga nyeto mkuu halafu fanya mambo yako, haina stress, wala hakuna kukupigia simu na kukuuliza upo wapi, nyeto haikuombi uitoe out au uipeleke shoping au beach...... masturbation is not sexual addiction but is the most very safe safe sex, because you *** yourself. usitishike na vitobo utamu unao mkononi mwako.... go ahead keep it up.
 
kaka hiyo kitu itakuumbua kwa wanawake kwa kushindwa ku-maintain errection yaani unakuta machine inasimama ile unatk kuupeleka unalala ziiii yaaan tna kwa manz mpya utaumbuka,nakushaur usisubir hayo madhara ndo uache,chukua hatua sasa! mm sijasimuliwa kaka!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
MI JAMAA YANGU ANAJILIPUA KWA SIKU MARA 4 HADI MBILI ALIKUJA KUPATA MADHARA YA KUTO DINDISHA NA AKAPOTEZA UWEZO WA KUTO RIDHIKA NA MWANA MKE. YUKO RADHI AJILIPUE KULIKO KULA MIZIGO.
 
Wengine wapo kwenye gamu kitambo tokea 2001 na maisha yanasonga vizuri sana; asikwambie MTU dawa ya kumridhisha mwanamke ni kupiga nyeto.
 
Back
Top Bottom