Nasita kuendelea kuandikia Gazeti

Wakipewa wapokee maana watanzania tunalilia lilia sana lakini hatupo tayari kuchangia ikitakiwa.
 
Mwanakijiji unaliacha Tanzania Daima?
Mimi ni msomaji mzuri wa Tanzania daima ya jumapili mbona sijawahi kuona makala ya mwanakijiji? au alikuwa anatumia id nyingine?
Kila la heri mwanakijiji lakini bado tulipenda kuona unatuandikia maana vita na mafisadi haitaki tukate tamaa.
Kweli hata sisi tunatumia feza hasa kwa ajili ya internet. Lakini we dont care. Tutapambana kwa siraha ndogo ndogo tulizonazo.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…