Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,317
This is child abuse and is not acceptable.
Social moralsHaifai
Social immoral yes.Social morals
Hahahahaha....yes huku tumeshaanza mapema sana,asubuh lazma tupate komoni (ugimbi) then twende shamba na tukilud tunashtua tena na mungu akipenda mvua ikinyesha tunategemea kuanza kujinoma na ulanzi a.k.a pombe tamu inyoayodhoofisha mifupa zaid ya malaria.
Naunga mkono hojaThis is child abuse and is not acceptable.
nisaidie tafsiri ya neno child abuse maana nahsi kizungu chako hakiendani na picha...jaman tutumie lugha yetu acheni ushamba wa kwamba mjanja ataongea kizungu!Naunga mkono hoja