zubedayo_mchuzi
JF-Expert Member
- Sep 2, 2011
- 4,873
- 1,216
Nimejilaza kitandani Mwangu hapa,Lakini ukuta Ambao unatenganisha vyumba..Unagongwa gongwa ..kwa uSTUDY mkubwa...sijui majirani zangu wanagombana...au ndo...kupaka rangi ukuta...
Angalia asije akawa ni yule mwizi wako anamnyemelea Yfu wako..chukua silaha yako na utupie kitu chamber tayari kwa lolote mkuu.
Hili swali au kitendawili ?
Ushawah kumuona samaki kalala,toka umekuja duniani
Kwa hiyo mkuu wewe ndiyo unakuwa samaki siyo?
Kwa nini ujitese hivyo mkuu? Chapa usingizi...
Methali.
Pole my hubby jaman
Ah! Watu walikuwa wanabreak kanuni namba 6 ya kwenye baibo. Kwanini unalala mapema hivyo mkuu zubedayo_mchuzi?
Jana umewah kulala,umeniachia vibweka.
Nimechelewa sana...Game za mapema so isue.
game gani hizo mume wangu
watakua wanagombana kiutu uzima....sasa na ww gonga wako tena kwa nguvu zaidi yao