sweetlady
JF-Expert Member
- Dec 24, 2010
- 16,947
- 8,409
Amina & Ahsante sana!Hahaha!! Lol Ubarikiwe sana na wewe uwe na wikiendi njema
Amina & Ahsante sana!Hahaha!! Lol Ubarikiwe sana na wewe uwe na wikiendi njema
asante ma mkubwa. hayo pia maoni ila utoto katika mapenzi ni uhondo mojawapomambo ya kitoto
ni ijumaa nyingine, namshukuru Mungu. nahisi upungufu mkubwa mwilini, Kuna kitu nimekosa,. Huzuni imenigubika siku 21 zilizopita ila leo nimeamua liwe liwalo lazima nikamuone mpenzi wangu, asali ya moyo wangu, mtuliza wa machozi, mwenye kutia joto ubaridi. I i mic u so much mommy, i am coming Tonight. Naondoka jamvini hadi hapo Jtatuuuuu........
wikiendi njema...mwaaaaaa!
bora we unaye,wengine mh!!!ni ijumaa nyingine, namshukuru Mungu. nahisi upungufu mkubwa mwilini, Kuna kitu nimekosa,. Huzuni imenigubika siku 21 zilizopita ila leo nimeamua liwe liwalo lazima nikamuone mpenzi wangu, asali ya moyo wangu, mtuliza wa machozi, mwenye kutia joto ubaridi. I i mic u so much mommy, i am coming Tonight. Naondoka jamvini hadi hapo Jtatuuuuu........
wikiendi njema...mwaaaaaa!