Nasikia milio ya Risasi vipi kunani?

Nasikia milio ya Risasi vipi kunani?

Mmh!hapo airport si ni karibu na gongolamboto?!na watz msivyozoea vita ukute vyuma vizito vimeshafikia expiring date tena huko nyie munasema ni risasi.na siku ile ilikuwa hivyo hivyo kambi inalipuka nyie mukasema ni sheli ya mafuta inaungua moto mukataka kwenda kuiba mafuta matokeo yake tukaokota mikono mingi imeshikilia vidumu!ngoja nimtwangie Mwamunyange kujiridhisha!
 
Hivyo vitakuwa vitu vyenye ncha kali vikiruka hewani na kutoa sauti yenye mlipuko mkali!
 
Back
Top Bottom