Nasikia milio ya Risasi vipi kunani?

Nasikia milio ya Risasi vipi kunani?

JF kiboko mpaka watu wameshuhudia ni AK47 ikikohoa
kumbe pikipiki
kumbe Transfomer la Tanesco linaibiwa Oil
Kumbe wamekata nyaya
Du hata Gongo la mboto watakimbia tena
 
mkuu mandieta nashukuru uzi wako umeniongezea siku za kuishi.!
 
Last edited by a moderator:
Kulikoni? Jamaa kasepa? Ndiyo wale wale . . .
 
Najuuuta kwanini nimewaletea taarifa hizi nyeti aise,maana mmeweka masihara mkasahau uhalisia.
 
Najuuuta kwanini nimewaletea taarifa hizi nyeti aise,maana mmeweka masihara mkasahau uhalisia.

Mkuu hujakosea kuleta Uzi huu, nadhani ni mambo ya ulinzi shirikishi ama pengine kuna maandamano batili hivyo watu wanafundishwa kutii bila shuruti.
 
Mh!hatakama pikipiki bajaji!kwamana sini milio mi3 aliyo ckia?!
 
Mkuu ujaleta taarifa za kweli kama uesikia ungeenda Airport sisi tuliopo kazulamimba huku kigoma tueona tusalimiane tu humu maana hakuna taarifa kamili
 
Back
Top Bottom