Geza Ulole
Platinum Member
- Oct 31, 2009
- 76,149
- 107,709
duh hii kali babuGreatThinkers,
Ni kama wiki moja tuuu huyo jamaa yao kafungua barabara mpya pale Usagara Mwanza. Lakini Sehemu ya Feri kupaki na kupakia Magari ina SLOPE Kali kiasi kwamba hapatumiki, Ikipita inagusa mbele na nyuma hivyo inabaki hewani.Boti bado zinatia nanga sehemu ya ovyo ovyo ile ya zamani, wachina washasepa. Yeye kafungua!!
Vibanda vya kukatia tiketi vimewekwa upande wa Kulia barabara ya kutokea, ni UTUMBO mwingine am,bao hata yeye hakugundua. Mistakes ni kibao lakini ndiyo hivyo jamaa alisimikwa kwa bahati mbaya.
Si Si Em ni Uozo Mtupu!
GreatThinkers, Naskia kuna malalamiko kuwa Kanda ya ziwa licha ya kuwa Migodi yote ya Dhahabu iko kule hakuna hata international airport, Mwanza airport ni kama shule ya kata ni kweli? Naskia Kuna malalamiko kuwa kanda ya ziwa licha ya kuwa asilimia hamsini ya wasomi wote tanzania wanatoka kule hakuna hata chuo kikuu hata kimoja cha serikali ni kweli? Naskia kuna malalamiko kuwa kanda ya ziwa licha ya kuwa na madini yanayoweza zalisha Cement yako pale Shinyanga hakuna hata mpango wa kujenga kiwanda licha ya kuwa 2005 mliahidiwa ni kweli? Naskia kuna malalamiko kuwa kanda ya ziwa mkoa mpya wa Simiyu umeomba ile barabara inayopita serengeti mmeomba ipitie Lamadi, bariadi kuja Hydom na kuunga Babati naskia wamekataa ni kweli? Naskia kuna malalamiko kuwa kanda ya ziwa viwanda pia hakuna licha kuwa muna bidhaa nyingi lakini vunajengwa siku hizi eti msafiri mkaombe vibarua Kibaha na bagamoyo ni kweli? Naskia kuna malalamiko kuwa wilaya nyingi za zamani kama Musoma vijijini,Shinyanga Vijijini hazina hata makao makuu lakini baadhi ya zilizoteuliwa juzi juzi tuu zimejengwa vizuri ile mbaya ni kweli? Sasa kama ni kweli mnangoja nini- Hameni wote Si Si EM inaonekana wanachumia kwenu halafu wanawekeza kule Chalinze
Spencer,
..yaani ungejua jinsi watu wa kanda ya Ziwa walivyoibeba Tanu kwa michango yao wakati wa harakati za uhuru za uhuru wa Tanganyika ndiyo ungesononeka zaidi.
..eneo la "Sukuma Land" wakati wa harakati za uhuru lilikuwa linachangia zaidi ya asilimia 34% ya mapato ya Tanu, wakati wao wana make only 14% ya total population ya Tanganyika wakati huo.
..hakuna sababu za msingi kwamba eneo la kanda ya Ziwa liwe nyuma kimaendeleo kiasi hicho.
..mapato ambayo serikali inayapata kutoka kwenye migodi dhahabu ya kanda ya Ziwa yalipaswa kuwekezwa ktk sekta nyingine kama kilimo,ufugaji, na uvuvi ambazo zina ushirikishi mkubwa zaidi kwa wananchi.
Tuwe wakweli watu wa huko ni wala rushwa wazuri hebu tuangalie utitiri wa makatibu wakuu kutoka Kagera pekee na madudu yanayofanyika ukilinganisha na elimu waliyonao! Tuangalie pia nafasi zao kama mawaziri halafu matokeo ya utendaji wao! Tuna mifano hai kama Ndg yetu Chenge na kusaini mikataba mibovu akiwa Mwanasheria Mkuu, pili kuuza TRL kwa Rites! Pia tuna karamagi na TICTS na Meremeta scandals! Tukiacha hayo tuangalie kwenye sakata la EPA kuna hata wanasheria na watu wakuheshimika wengi kama wakina Amb. Rwezaura walichota mahela mengii na wengi wenye majina yanayofanania kama wakina Malegesi! Tuje Bw. Mkono na nae pia kama mwanasheria wa BOT, alisomba mapesa chungu nzima ukiacha influence yake katika Bunge yaani ana kofia tatu huyu Mbunge, Mwanasheria (practising) na NEC member sasa angalia anavyojitengenezea nafasi za kuiba! Tusimsahau Bwn Cheyo Mapesa huyu ni kada wa CCM anahongwa kila siku kudhoofisha upinzani!Mkuu, umesema watu wa kanda ya ziwa wanakosa upendo kwa ndugu zao lakini naona hoja yako imejikita sana kwa mkoa wa Kagera peke yake, ebu tuambie watu wa Mwanza, Shinyanga, Tabora, then itakuwa vizuri ukatueleza watu wa wapi wana upendo na ndugu zao na uweke vielelezo kama ulivyoweka
Hiyo wadwanzi imenifuraihisha sijaisikia miaka mingi.CCM ni wadwanzi, tumeshaamua kuachana nao!
Nyambala,Geza Ulole,
..u can have as many Ministers,PS,...frm one area.
..bila kuwa na shughuli ya uchumi ya maana ambayo inashirikisha watu wengi zaidi watu wa eneo husika hawawezi kuinuka hata siku moja.
..kinachotakiwa kufanyika kanda ya Ziwa, Kusini, etc etc ni kuinua sekta ambazo zinashirikisha wananchi wengi zaidi. hawa wananchi wakiwa na uwezo wa kujitegemea then wataweza kutamani vingine kama elimu bora kwa watoto wao etc etc.
..serikali haiwezi kumgawia kila mwananchi wa kanda ya ziwa mabonge/mapande ya dhahabu, lakini inaweza kusaidia kuinua/kuiboresha sekta ya kilimo, mfano cha pamba, ili hali za kiuchumi za wananchi ziwe bora zaidi.
..kuhusu elimu nadhani ni kukosa commitment tu, lakini jitihada zikifanyika inawezekana kabisa kuanza kufufua na kuboresha shule chache ambazo zitaweza kuzi-challenge shule zinazosifika sasa hivi. kitu cha msingi ni kwamba shule hizo ziwe zinachukua watoto wa walalahoi.
NB:
..naona Dr.Slaa yupo hapa. I hope he can chime in kuhusu matatizo/challenges/potentials za kanda ya Ziwa.
labda tofauti ni kuwa hawajaibia miradi ya kwao kama Chenge na Rites au mikataba ya madiniJamani ebu tuaangalie na hawa viongozi, Basil Mramba, Daniel Yona, Grey Mgonja, Edward Lowassa, Frederick Sumaye, Anna Mkapa, hawa ni Mafisadi Papa mtu yoyote atujuze sehemu wanazotoka
Kanda ya ziwa hakuna CCM tena ilishakufa baada ya uchaguzi.kwa mkoa wa shinyanga mbunge wa CCM ni Masele tu. wengine wanatumikia upinzani.
Tunasubiri 2014 tusimike serikali za mitaa zote CDM na UDP kwa Bariadi.Siku hizi hata sare za CCM wanavalia ukumbini hawana ubavu wa kutembea kifua mbele wanajua ni ngome ya CDM.
Siku hizi Shinyanga hakuna ugomvi wa kisiasa kwani CCM kilishageuka kuwa chama cha upinzani, chama tawala ni CDM, hilo liko wazi hata kwa wana-ccm wenyewe ndiyo maana hakuna vurugu
Wazururaji mbona ata mwanza polisi wanawakamata? Au wazururaji wanaokamatwa wote ni wasukuma,wakerewe, wazinza? tusaidie mkuuGreatThinkers,Suluhisho pekee ni utawala wa majimbo kama ambavyo CDM imekuwa ikituamsha. Haiingii kichwani kwa mtu mzima kuona wadogo zangu wanakamatwa kama wazuraraji DAR wakati wameenda kutafuta kazi sehemu ambayo malighafi kutoka kwao imepelekwa.Kwa nini watu wafanywe namna hii ndani ya taifa lao?