Nasikia kelele masikioni na kichwani

Nasikia kelele masikioni na kichwani

Jmb mi naomba bisaidiwe mm nakuwa nasikia kama mishipa ya damu inasukuma damu ivi, yani nasikia ti ti ti sikio moja sioati hata usingiz yan
 
umeenda hosplhos kutibiwa ?
 
Nta za masikio pia hupelekea hiyo hali, inabidi uwe na utaratibu wa kuondoa hizo nta yani tusikae muda mrefu bila kusafisha sikio, kama unafanya kazi maeneo yenye kelele sana jaribu kujipumzisha kwa muda, wakati mwingine inawezekana mtu ana damage kubwa huko ndani bila kujijua kumbe ndiyo inayosababisha hiyo hali...Cha muhimu ni kwenda kwa mabingwa, kwa sababu Kuna remedy nyingi mno za kupata unafuu kwenye hili itategemea na tatizo lilipofikia na bahati yako pia,rafiki yangu alikuwa na tinnitus, alikuwa anasikia sauti kama za miluzi au muito wa simu, akaambiwa hiyo ni tinnitus, alitumia kila njia ila ikafeli, mwishowe alishauriwa na jamaa mmoja huko abroad alimwambia na kumtumia baadhi ya video za remedy, alikuwa akiambiwa kuwa ajaribu kuingiza vidole gumba vya mikononi kwenye masikio, Yan dole gumba la mkono wa kulia aingize kulia hali kadhalika na kushoto pia, vyote hivyo kwa wakati mmoja, unaingiza vidole gumba masikion na kuvitoa , hadi ifike Mara tano ukitaka kuendelea ni hadi kumi...aliambiwa afanye hivyo hadi atakapoona nafuu kwa siku Mara mbili, asubuhi na jioni, basi alifanya hivyo miezi kadhaa, hadi hali ya makelele ikapungua kabisa...jamaa ilikuwa bahati yake coz altumia njia nyingi sana ila hola...
 
Ngoja na mimi nijaribu hii njia mkuu...
 
Back
Top Bottom