nasikia harufu ya damu.

Halafu nasikia kuna kapedejee uchwara kanamnyatia Madam B.

Wewee,
hakuna wa kunipora mimi kwa Rutta wangu,
Me na Rutta damdam.
Nikinywa maji namuona kwenye glasi,
Nikilamba koni namuona kwenye Utamu,
Chezeiya mapenzi.
 
Last edited by a moderator:
Nadhani ame kuelewa sana!

Wewee,
hakuna wa kunipora mimi kwa Rutta wangu,
Me na Rutta damdam.
Nikinywa maji namuona kwenye glasi,
Nikilamba koni namuona kwenye Utamu,
Chezeiya mapenzi.
 
kwanza 2jiullize wana chit-chat kwa nini watu wanatuonea donge jb ni moja tu sisi tupo juu humu JF!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom