nasikia harufu ya damu.

safi sana Bishanga....

Wakitembea lile dude liende..... 'jukwaa hili na hili langu'..... Jukwaa hili na hili langu......
 
Last edited by a moderator:
Si unaona serikali imewekeza mabilioni kuwaondoa kunguru wa dar,acha niwekeze,ujue nini cacico,wanatufanyia makusudi baada ya kuona jukwaa la chitchat linaimarika,halafu ujue hakuna jukwaa rahisi ku break barriers kama chichat,kuna watu kinawauma.
mimi mwenyewe linanifanya nilisahau jukwaa la siasa.
 
Sina jinsi,kesho naamkia anjun mafia,kuna genge la vinuka mkojo wameamua kuvamia chichat kwa lengo la kuiparanganya,dawa yao ni ndogo,ni kuwapiga albadr,haiwezekani jitu lilale likiamka lije litutukane chichat bila sababu, nyie wana wa kutoka pachafu mnaokuja kututukana hapa chichat eti hatuna akili jiandaeni kuvaa suruali pana bila kufuli,ku....la mafyampuzi yenu.

Kaka salutiii
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom