nasikia harufu ya damu.

Sina jinsi,kesho naamkia anjun mafia,kuna genge la vinuka mkojo wameamua kuvamia chichat kwa lengo la kuiparanganya,dawa yao ni ndogo,ni kuwapiga albadr,haiwezekani jitu lilale likiamka lije litutukane chichat bila sababu, nyie wana wa kutoka pachafu mnaokuja kututukana hapa chichat eti hatuna akili jiandaeni kuvaa suruali pana bila kufuli,ku....la mafyampuzi yenu.

Naunga tela. In fwact umedhamiria kuwateketeza? Rick Ross madevu amekurudishia gari yako?
 
hahhaa wape wape....chezeya bepari la kihaya utakua unaichungulia kuzimu
 
kwanza 2jiullize wana chit-chat kwa nini watu wanatuonea donge jb ni moja tu sisi tupo juu humu JF!

Yani hakuna jukwaa lenye Raha kama hili.
Mimi heri nilambe talaka lakini nisimkose Mpenzi wangu Chitchat.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom