Nasikia baridi ya Mapenzi, njoo unitibu

Nasikia baridi ya Mapenzi, njoo unitibu

mlambivu, unalo babu na limekuganda.Let me express my feeling freely.Kama una kimavi cha kupigwa vibuti, hebu kajichovye baharini mara saba, kabla ya Ijumaa Kuu
it's non of our damn business my dear,u better send him pm
 
Last edited by a moderator:
Blue G, mambo mazuri hufanywa ili watu wayaone na kujifunza.leo nataka nifanye ile shughuli nzito hadharani.Nimpe mambo matamu matamu
Akupe hilo joto hapa mbele za jukwaaa au ,bona sielewielewi?
 
Last edited by a moderator:
Acha wivu. Kukumbatiwa sio lazima kugegedana.
<br />
<br />

wivu lazima bwana....mwenzangu anaitwa kabisa mie wala haijawahi kutokea....mhm wee umkumbatie demu na hali hii alafu usitake kugegeda...labda ukute red light.
 
images
 
haya bibie Nazjaz mie naisubiri hiyo muvi ili na mi nijizolee baadhi ya maufundi kutoka kwako.
Blue G, mambo mazuri hufanywa ili watu wayaone na kujifunza.leo nataka nifanye ile shughuli nzito hadharani.Nimpe mambo matamu matamu
 
Last edited by a moderator:
My Judgement hebu njoo huku na mie unipe joto mana hili baridi la Lushoto linanitesa sana.
 
Last edited by a moderator:
Mvua, baridi, upweke lohhhh....Mbona nina hamu ya kukumbatiwa!! Maana najiona nakakaa kwa baridi, sitaki joto la moto wa kuni,nataka joto la yule nimpendae.Joto la moto lasinyaisha ngozi, joto la nimpendae laleta mahaba na hamu.Njoo wangu wa moyo ndyoko unipe raha za duniani.I miss you my darling.

Ngoja mke wa ndyoko ajue...
 
Last edited by a moderator:
sa wana JF tukusaidie vip? au ndo u-biyonce Jay z! show lav, acha kupayuka, utatendwa alafu ushindwe kuomba ushauri.
 
Back
Top Bottom