Nazjaz
JF-Expert Member
- Jan 20, 2011
- 7,833
- 9,383
Mvua, baridi, upweke lohhhh....Mbona nina hamu ya kukumbatiwa!! Maana najiona nakakaa kwa baridi, sitaki joto la moto wa kuni,nataka joto la yule nimpendae.Joto la moto lasinyaisha ngozi, joto la nimpendae laleta mahaba na hamu.Njoo wangu wa moyo ndyoko unipe raha za duniani.I miss you my darling.
Last edited by a moderator: