Nasibu aka Ras Nas. BBC Swahili

Rungu

JF-Expert Member
Joined
Feb 23, 2007
Messages
3,927
Points
2,000

Rungu

JF-Expert Member
Joined Feb 23, 2007
3,927 2,000
Kipindi cha Idhaa ya Kiswahili ya BBC, ‘Dira ya Dunia’, kitarusha hewani mahojiano na mshairi-na msanii mkongwe wa muziki wa dansi, Nasibu aka Ras Nas, Ijumaa hii (29 Februari) kati ya saa moja na moja na nusu jioni, au 19:00 – 19:30 East African Time (EAT).

Mahojiano hayo, yalochanganyika na masala ya vibao vipya toka kwenye nyu albam ya ‘Dar-es-Salaam’, yatafanyika baina ya Ras Nas na mtangazaji mahiri wa Idhaa hiyo, Idd Seif.

Baadaye kipindi hicho kinaweza kupatikana kwenye podikasti mtandaoni


Kongoi Productions


 

Forum statistics

Threads 1,364,646
Members 520,947
Posts 33,324,358
Top