Wimbo wa Ras Nas bure!!!!

Rungu

JF-Expert Member
Feb 23, 2007
3,933
1,725
Wakurugenzi na Wakuu wa JF,

Tunayo ofa ya bure ya wimbo wa "Dar-es-Salaam" uliobeba jina la albamu mpya ya Ras Nas aka Nasibu. Sasa kazi kwenu:)

Wimbo huu ni mchanganyiko wa rumba na seben.

Ofa hii iko katika lengo la kupromoti albamu ya Dar-es-Salaam, ambayo ni mseto wa rege na mziki wa dansi.

Maoni yanakaribishwa!

Asanteni,
Timu ya Kongoi.com
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom