Nashukuru serikali awamu ya 5 kwa kutujali wanufaika wa mikopo, boom la pili tayari

Hizo fedha mnapewa baada ya kutimiza miezi miwili yaani Due dates na wala hawajawaisha. Na wala usiseme chuo fulani,we utakua unasoma DUCE. UDSM walishasaini na wengine tayari washazipokea fedha. Tumieni tu hizo fedha vizuri.
Binafsi napenda kutoa shukrani kwa serikali mpya kwa kutujali sisi wanafunzi tunaonufaika na mikopo niko chuo flani apa Leo tumesaini pesa za kujikimu za awamu ya pili. Kama Kuna wahusika umu pokeeni pongezi hizi. Asante
 
Hizo fedha mnapewa baada ya kutimiza miezi miwili yaani Due dates na wala hawajawaisha. Na wala usiseme chuo fulani,we utakua unasoma DUCE. UDSM walishasaini na wengine tayari washazipokea fedha. Tumieni tu hizo fedha vizuri.
Sipo duce mkuu Nipo chuo flan private apa haijatimia miez miwil mkuu tumesaini November mwanzoni so haijatimia miez miwil. Pongezi kwao
 
Kutimiza wajibu ni kitu cha kawaida! Serikali imetimiza tu wajibu wake! Na wafanye hivyo kwa vyuo vyote siyo watoe upesi kwa chuo fulani tu kwa kuogopa migomo!
 
Maan yake Boom la kwanza mlicheleweshewa. Ila dogo piga msuli,tutakutana mtaani tukiulipia. Utajua 15% ya mshahara wako ina maana gani.
Mkuu nalifaham ilo apa ninajipanga tu nikimaliza chuo najua La Kufanya tofauti na wewe hukuja kua ajira zitasuasua na riba zitapanda... boom ukawa unakula tu
 
Mkuu nalifaham ilo apa ninajipanga tu nikimaliza chuo najua La Kufanya tofauti na wewe hukuja kua ajira zitasuasua na riba zitapanda... boom ukawa unakula tu
Unamaanisha mimi sikujua la kufanya baada ya kumaliza chuo? Sawa mdg wangu,soma bhanah! Mtaani pataongea zaidi. Hongera sana na endelea kujioanga vema usiwe pururu kama mimi ila tambua sidaiwi hata mia na bodi.
 
Hujanielewa mkuu wap nilipo kutuhumu kua hukuja la Kufanya. Mkuu. Usijali ajira zinakuja vuta subira
 
Nawaonea huruma vijana FULANI wamekosa boom na mkopo vyote walipangwa tumaini ya Dar mmoja kushindwa kusoma.. Kaenda kwenye hio bodi yenu kuwa omba kabaniwa JUZI karudi kwao mwanza. Nilimuonea huruma Sana.. Serikali ingekuwa inajitahidi iwape wanafunzi wengi zaid mikopo ingekuwa vizuri Sana
 
Back
Top Bottom