hebu nijibu mkuu... tunahamu kutalii na kuunganisha wilaya zetu kimtandao TZNET...!!!!!Nipo My Ndugu.
Moja ya nyuzi bora kabisa ya mwezi huu.Mkuu sio nia yangu kufanya haya ninayoyafanya. Ninachojaribu kufanya ni kuwa "watch dog", kuwasaidia moderators katika kurekebisha tabia za baadhi ya wanachama hapa JF. Wanachama wengine wanakera sana. Wanaanzisha topiki ambazo hazina kichwa wala miguu.
Naam kuhusu kuoaNzalendo; Heshima yako Mkuu. Kuna maswali mengine hukuyajibu, sijui hukuyaona ama la? Ila lipo moja naomba nikukumbushe liliulizwa na mdau mmoja hivi, aliuliza, 'ni mabinti wa mkoa/wilaya ipi wazuri kwa kuoa? Yeye anatafuta wa kuoa!' Nahisi nimelipatia swali lake, nawe utalijibu kwa hekima zote, maana ni kijana wako huyo anahitaji mke (kijana wako, kwa umri wako ulioutaja).
Nami naomba niulize hili, labda utaunganisha majibu na nitashukuru ukiunganisha. Ni hili, 'Mkoa wa Mara, eneo linaloitwa Shirati, lipo Rorya ama Nyancha? Maana nachanganya haya, na vipi kuhusu tabia ama ukaribu wa watu wa huko? Nao ni wa kabila gani, wasurwa ama wagire?'
Nimemaliza Mkuu, nitafurahi ukinijibu, naamini umenipata.
Ahsante!
Naomba kuifahamu moshi
Hongera sana,nakuombea dua Mungu akuwezeshe ili ufanikiwe.Hongera sana. Ni rekodi nzuri. Mi natamani kabla ya miaka 30 niwe nimekanyaga mikoa yote ya Tz. Nimebakiza Manyara, katavi na Rukwa, Mtwara, Lindi na Pemba.
Mkuu unapafahamu kabhulanzwili naomba unielekeze njia ya kwenda huko. Ipo Kasulu. Pua Nelekeze Nyankoronko na kitanga palivyo maana nna reseach huko nataka nijue jinsi ya kufika na watu wa huko wakoje. Natanguliza shukraniSi kitu rahisi,Kwa umri wangu wa miaka sitini na...++ namshukuru mwenyezi Mungu saana,manake nchi hii nimejaaliwa kukaa angalau kila wilaya ya Tanzania Bara kwa kipindi kirefu.
Nina uhakika hakuna Mtanzania yeyote anayeifahamu nchii hii vizuri kuliko mimi.
Hivyo basi namkaribisheni kwa anayehitaji ushauri kuhusu sehemu yeyote ya nchi ya Tanzania.
Namshukuruni sana.
Hii nyumba naifahamu na hili uko sahihi, vipi lakini kuhusu Nyamahana unaweza kueleza tabia za wakazi wa huko? Ikishindikana nieleze kuhusu tabia za watu wa Njalamatata.Naam swali zuri sana mkuu.
Safari ya kuizunguka nchi hii inaanzia miaka ya hamsini katikati..Mzazi wangu alikuwa mwalimu enzi za mkoloni.
Kwa kifupi mpaka nafikisha miaka 12 nilishakaa Burka(Arusha),Mpwapwa,Mbulu,Korogwe,Pugu,Tabora,na Iringa.
...Kuanzia hapo nikapata shetani wa kupenda nchi hii.....Wakati nafanya kazi nilikwisha kanyaga kila Ardhi ya Wilaya unayoifahamu nchi hii.(kuna siku nililala kwenye nyumba aliyo lala mwalimu nyerere akiwa kwenye harakati za kutafuta uhuru.....nyumba hii ipo Ruvuma Barabara inayokwenda Namtumbo Upande wa kulia kabla hujafika njia panda ya Chengena)
Yaliyosemwa humo 80% ni sahihiVery very interesting.....!!!
Haya yapo kweli Tanzania? Mbona Nchi yetu inashika mkia kwenye suala zima la Utalii?
Let me assume, hapa umetupiga kamba mkuu?
BACK TANGANYIKA
Nyankoronko-NyakitontoMkuu unapafahamu kabhulanzwili naomba unielekeze njia ya kwenda huko. Ipo Kasulu. Pua Nelekeze Nyankoronko na kitanga palivyo maana nna reseach huko nataka nijue jinsi ya kufika na watu wa huko wakoje. Natanguliza shukrani
Nimeandika sahihi kabisa. Nyakitonyo ipo hapo mbele ya kanazi napajua. NYANKORONKO, KITANGA NA KABHULANZWILI.Nyankoronko-Nyakitonto
Kitanga-Kwitanga
Kabhulanzwii-???
Duh..basi poa Ndg maana nilifikiri makosa ya herufi tu.Nimeandika sahihi kabisa. Nyakitonyo ipo hapo mbele ya kanazi napajua. NYANKORONKO, KITANGA NA KABHULANZWILI.