Nashukuru Mungu Tanzania nimeimaliza

Nashukuru Mungu Tanzania nimeimaliza

Nashukuru
Aisee! Kumbe wewe ni sawa na babaangu. Shikamoo baba

Wilaya ya rombo ndio nyumbani. Sasa baba nataka kwenda kigoma maeneo ya ujiji. Naomba uzoefu na eneo hilo baba kuhusu biashara ya duka la rejareja
 
Aisee! Kumbe wewe ni sawa na babaangu. Shikamoo baba

Wilaya ya rombo ndio nyumbani. Sasa baba nataka kwenda kigoma maeneo ya ujiji. Naomba uzoefu na eneo hilo baba kuhusu biashara ya duka la rejareja
Marahaba.
Kigoma ni sehemu nzuri sana ya kuanzia maisha,wengi waliofuata kilichowapeleka wamefanikiwa sana.
Kuhusu biashara ni jambo jema ila uwe na lengo la kufanya biashara ya jumla kwa baadae manake Kigoma kuna kina papaa wanakuja toka ng'ambo ya pili (Congo),na kama ukijiongeza kwa kununua dagaa na ukawapeleka sehemu zenye uhitaji kama Dar utafanikiwa kwa kiwango cha juu.pia kuna samaki wanaitwa migebuka ni wazuri mno.

Kwa zamani waliofanya biashara ya magendo kwa kupeleka vitu Congo walifanikiwa sana, hasa mafuta jamii ya petroli.Kwa miaka hii magendo sina hakika nayo sana.

Fanya kazi halali lima, nunua mawese,nenda mpaka kazuramimba, utajenga ghorofa Rombo.
N.B.Muhimu fuata kilicho kupeleka.Kuna jamaa anaitwa Kidaba ukifika huko nitakuunganisha nae.
 
Kwa wenyeji wa Ukara hata mie naweza kukumegea japo hukuniuliza mimi: kwanza ni kisiwa ambacho kiko ndani ya Kisiwa cha Ukewere, ni tarafa ya Ukara, ina vivutio vya asili mfano kuna jiwe ambalo wazee wakiliimbia nyimbo wanazozijua wao linacheza lakini wewe mtu mtu hata ungeimba hadi miaka 100 halichezi! wenyeji wa kule wanapenda mchezo wa kupiganisha madume ya ng'ombe kiasi kwamba dume lako likishinda ni sawa na Yanga au Simba wakishinda au kushindwa, pia akina dada wa Ukara kwa utaratibu wao ikifika usiku ndio wanaruhusiwa na wazazi wao kwenda kutembea, mchana marufuku kuzurura ni KAZI TU. Vile vile Ukara kuna wazee wanafuga Mamba, kiasi kwamba hata wakiwa ziwani wanajua huyu ni mamba wa mzee Fulani kama wewe unavyoweza kujua huyu ni ng'ombe wa Fulani, sasa hao mamba huwa wanawatumia kwa mambo ya kiutamaduni! kwa mfano wewe kijana unaweza kumpa msichana wa kikara mimba halafu ukajidai kumtosa, kinachofanyika anatumwa mamba kuja kukuchukua huko uliko hata kama ni Mbeya lazima siku hiyo utajisogeza tu karibu na ziwa au bwawa na huyo mamba anakumeza atakupeleka hadi kwa mzazi wa msichana anakutapika halafu hapo utajibu mashitaka yako ya uharibifu wa binti yao:
Yalaaaa... Nimeogopa ghafla, teknolojia ya kudaka wahalifu kiulaini hii.
 
.
Nzalendo kwa tanzania ni sehem gan uliihusudu kuishi kutokana na wenyeji kuwa wakarimu ma tabia nchi kukupendeza zaidi je unasehemu kama hio katika mlolongo wa maisha yako ambayo ungependelea kurudi hata sasa kutokana na fursa zilizopo hapo pamoja n utu wa wenyeji?
Naam hiyo sehemu ipo,kilichonivutia zaidi si uzuri wa mandhari au fahari waliyo nayo...ila ni utu wao...walikuwa hawanifahamu na mimi nilikuwa ni mgeni kabisa lakini walinikarimu mpaka nikapata hofu,chakula kwao si tatizo unakula mpaka jasho linakutoka....Nilipewa chumba nikakaa miezi miwili kabla ya kuanza kulipa kodi...sehemu hii naomba nisiitaje kwa jina lakini ni kanda ya Ziwa.Kwa wananzengo.
 
Ukipata demu wa Ukara - Ukerewe uwe makini hakikisha una mhandle with care vinginevyo utakuja kuoa kwa kulazimishwa na kutishiwa mauchawi hayo ya mamba
Naam kuna kiongozi maarufu wa nchi hii,anatokea pande hizo,kila anpoenda kusalimu halali huko hurudi mpaka Mwanza kwa ajili ya malazi.
 
Marahaba.
Kigoma ni sehemu nzuri sana ya kuanzia maisha,wengi waliofuata kilichowapeleka wamefanikiwa sana.
Kuhusu biashara ni jambo jema ila uwe na lengo la kufanya biashara ya jumla kwa baadae manake Kigoma kuna kina papaa wanakuja toka ng'ambo ya pili (Congo),na kama ukijiongeza kwa kununua dagaa na ukawapeleka sehemu zenye uhitaji kama Dar utafanikiwa kwa kiwango cha juu.pia kuna samaki wanaitwa migebuka ni wazuri mno.

Kwa zamani waliofanya biashara ya magendo kwa kupeleka vitu Congo walifanikiwa sana, hasa mafuta jamii ya petroli.Kwa miaka hii magendo sina hakika nayo sana.

Fanya kazi halali lima, nunua mawese,nenda mpaka kazuramimba, utajenga ghorofa Rombo.
N.B.Muhimu fuata kilicho kupeleka.Kuna jamaa anaitwa Kidaba ukifika huko nitakuunganisha nae.
Nashukuru sana baba.
Mtaji wangu sio mkubwa ni kama million 3 tu. Hivo kwenye biashara ya jumla itakuwa ngumu
 
Unaweza kuijua nchii kuliko mzee wa msoga? ? ! ! mpaka useme hakuna anayeijua zaidi yako? kwanza wewe ndo wakwanza kuifanya hiyo kazi iliyofanya uzunge sehemu za tanzania? ?
 
Nashukuru sana baba.
Mtaji wangu sio mkubwa ni kama million 3 tu. Hivo kwenye biashara ya jumla itakuwa ngumu
Kwa kuanzia inatosha sana na kubaki ila kuwa na lengo la duka jumla.
Chonde chonde fuata kilichokupeleka na usidanganywe kwenda kwa waganga kuna mtu alipelekwa ziwani kutafuta dawa yaani chini ya ziwa lakini hakurudi mpaka jan ya juzi yake.
 
Asante sana baba nitakua makini
 
Unaweza kuijua nchii kuliko mzee wa msoga? ? ! ! mpaka useme hakuna anayeijua zaidi yako? kwanza wewe ndo wakwanza kuifanya hiyo kazi iliyofanya uzunge sehemu za tanzania? ?
Hujaelewa...... Historia yangu inaanzia miaka ya hamsini..By the time huyo unayemzungumzia bado hajajulikana kwa wa TZ wengi nchi hii nilikuwa nishaivuruga Wilaya zote.
 
Acha ujinga wa kujisifia wewe. Eti hakuna mtanzania anayefahamu nchi hii kuliko wewe? Sasa umefanya kitu gani cha maana kama hii nchi unaifahamu kuliko mtu mwingine? Kama huna topiki ya maana nyamaza kimya. Tulia kabisa.
[emoji15]
 
mkuu hebu naomba nidokeze kuhusu tegeruka huko musoma,naenda kwa mara ya kwanza kuna kitu nafuatilia nitakaa siku 3 sina ninachokijua huko.
 
The paragraphy two ya maelezo yako haiwezi kuwa na ukweli au kuandikwa na mtu anayejielewa.....
Ndiyo paragraph iliyofanya niidharau hii thread, mimi nimeishi wilaya zote za mkoa wa Mwanza tena kwa zaidi ya Mwaka mmoja kila wilaya, lakini siwezi kusema naufahamu Mkoa wa mwanza kuliko mtu yeyote
 
mkuu hebu naomba nidokeze kuhusu tegeruka huko musoma,naenda kwa mara ya kwanza kuna kitu nafuatilia nitakaa siku 3 sina ninachokijua huko.
Ni Mkoa wa Mara ipo ndani ya Musoma vijijini,Sijui unaenda huko kutokea wapi.
Kama sehemu nyingine za Tanzania ni sehemu nzuri tu..ila kidoogo washkaji wa pale wana hasira hawapendi mambo ya masihara kama watu wa Pwani.Kuna kitu kinaitwa kichuri ukifika huko utaulizia na watakueleza ni kitu gani.Pia Gongo kwa miaka niliyopita mimi ilikuwa ni kama Uwambule kwa wa hehe.
Halafu utawauliza ku gecha maana yake ni nini.
watakupa jibu.
 
Ndiyo paragraph iliyofanya niidharau hii thread, mimi nimeishi wilaya zote za mkoa wa Mwanza tena kwa zaidi ya Mwaka mmoja kila wilaya, lakini siwezi kusema naufahamu Mkoa wa mwanza kuliko mtu yeyote
Si kosa lako ni ufahamu wako.
Kama ukijiona panzi hakika wewe utakuwa panzi.Ni aina ya uandishi wa kuvuta umakini wa msomaji iwe kwa jema au kwa baya.
Relaaaaxxxx
 
Back
Top Bottom