Nashukuru Mungu Tanzania nimeimaliza

Nashukuru Mungu Tanzania nimeimaliza

Kwa miaka hiyo Moshi ulikuwa mji uliodumaa.
Kwa sasa sina uhakika sana inafananaje,ila kwa kifupi ni mji uliopangika.
Miaka hiyo usafiri wa kwenda Arusha zilikuwa ni Ford, na kuna basi lilikuwa linaitwa Kindokyakombe, kwa wanaokwenda Marangu na Rombo Investment kwa wa Rombo.Kiborloni ilikuwa maarufu kwa kuuza mitumba,na nyama ya nguruwe na pombe aina ya mbege.
Nakumbuka sehemu iliyokuwa inaitwa YMCA karibu na keep left...sijui kama bado ipo.
Kwa msimu wa joto Moshi ni mkoa wenye joto kali kuliko Mikoa yote ya Tanzania,Hivyo hivyo kwa kipindi cha baridi.
 
Kuijua nchi nzima haiwezekani, kwa sababu wilaya moja unaweza kukuta ina utamaduni wa aina tofauti katika kitu kile kile, na tabia za watu wa kusini na kas. Au mash. Namagh ukakuta ni tofauti
 
Kuijua nchi nzima haiwezekani, kwa sababu wilaya moja unaweza kukuta ina utamaduni wa aina tofauti katika kitu kile kile, na tabia za watu wa kusini na kas. Au mash. Namagh ukakuta ni tofauti
Uko sawa na mfano mzuri ni wangoni na wandendeule
 
Naomba maelezo kuhusu wilaya ya Mafia, nataka kuhamia huko.
Nini nijiepushe nacho, nini nifanye, vipi wananchi wake, hali ya uchumi, na mambo mengine ambayoo yatanifunua macho
 
Back
Top Bottom