hata mimi nikitumia opera mini napata tabu sana kuingia. hadi naamua kutumia BOLT. kutakuwa kuna tatizo.hili tatizo limeanza tangu ijumaa iloisha. zamani ilikua fasta lakini sasa hivi unaingia hata mara 7 bila mafanikio. wanakuambia error wakati hiyo hiyo browser unaingia fb, cnn,mjengwa, michuzi, bbc, bila tatizo. kwanini jf tu???. lakini ukifanikiwa kuingia kwenye majukwaa, kupost, kucomment hupati tabu. bila shaka invisible atalifanyia kazi. Mia