Nashndwa kuelewa hii chemistry ya wanawake.

Just making sure kama still interest ipo au haipo, na hata kama ipo haimaanishi kama anakutaka pia. Its just we love the chase, mbwa si lazima awe anataka kuendesha gari anapolikimbiza.

Anakuwa anataka kuijua harufu yake ili akiliona acbweke, bali alikaribie, alilambe......................then................huu msemo unaweza zua tafsiri 100 hapa
 
Tatizo lenu wanaume ni hivi, mnataka mpewe majibu hapo kwa hapo.. We need time kuwajua vizuri. (hakuna specific duration) hivyo unaweza kataliwa mwanzo taratibu baada ya muda mkiwa mna spend time together, na kuongea mara kwa mara, tukaona WHY NOT GIVING IT A TRY. Sasa unapo back out upesi inaonesha huna nia kaizer!

Dah..Amina hii point ni nzuri ila sasa sio wote wanakuwa na hizo dalili kwamba mwisho wa siku kinaweza kueleweka...maelezo zaidi nitakuPM.:shock:
 
Dah..Amina hii point ni nzuri ila sasa sio wote wanakuwa na hizo dalili kwamba mwisho wa siku kinaweza kueleweka...maelezo zaidi nitakuPM.:shock:

Tatizo huwa mnakuja na moto mkali halafu mnapoa after a little dissapointment.. Hapo unajikuta mtu unahisi zile zilikua mbwembwe tu nini.. Kumbe kaizer anamaanisha!
 
Back
Top Bottom