Nashndwa kuelewa hii chemistry ya wanawake.

Hivi wewe ole unadhani pale mnapotakana na kukubaliana mapenzi yapo 100%. Mapenzi yanajengeka ndani ya mahusiano. Ni pale unapoweza kumconvince ataanza kujenga interest, na kukupenda eventually! Baada ya hapo sasa ita determine kama ulikua muongo au mkweli (ndani ya mahusiano.)

Mi ukweli toka moyoni sijawahi penda hata siku moja ila natamani na ninaishia kutamani
 
Apa tupo pamoja mkuu...ndo mambo ya msingi nimemuuliza MadameX apo juu.....wakitendwa baadaye wanalalamika wanaume wabaya...ubaya wanauanza wenyewe...

Mpwa fikiria mwanamke amekuzungusha miezi sita siku anakubali unaona alicho kuwa anakuzungusha hakina tofauti na cha wanawake wengine unategemea nini kufuatacho hapo.................
 
Hivi wewe ole unadhani pale mnapotakana na kukubaliana mapenzi yapo 100%. Mapenzi yanajengeka ndani ya mahusiano. Ni pale unapoweza kumconvince ataanza kujenga interest, na kukupenda eventually! Baada ya hapo sasa ita determine kama ulikua muongo au mkweli (ndani ya mahusiano.)

So suala zima la ndoa ni pata potea kwa maoni yako????
Na kwa ukweli huu huwa hamtongozi as mnajua ni suala la kubahatisha then mnasingizia mfumo dume?????
 
Just to see how intense can be, who doesn't like the attention after all

ama kweli "he laughs best who laughs last"...; baadhi ya wanaume wako tayari ku-invest muda na gharama nyingi kwenye chasing; wakishamega wanalinganisha mapozi, mashauzi na mbwembwe alizokuwa nazo binti pamoja na resources walizotumia na wakiona haviendani na quality ya mzigo waliyotegemea wanapiga chini fasta
 
ama kweli "he laughs best who laughs last"...; baadhi ya wanaume wako tayari ku-invest muda na gharama nyingi kwenye chasing; wakishamega wanalinganisha mapozi, mashauzi na mbwembwe alizokuwa nazo binti pamoja na resources walizotumia na wakiona haviendani na qualty ya mzigo waliyotegemea wanapiga chini fasta

During the chase time is the right time kumchuna mwanaume, ndio maana hiyo period inakuwa prolonged. Tunajua tu kama mkipewa mnachotaka fasta fasta mtasepa tu, kweni hatumijui kama nyinyie pia matapeli.
 
hapa nimependa ulivyokuwa mkweli madame... so ni game ya kuviziana, afterall!
 
Mpwa fikiria mwanamke amekuzungusha miezi sita siku anakubali unaona alicho kuwa anakuzungusha hakina tofauti na cha wanawake wengine unategemea nini kufuatacho hapo.................

Hapo nitamshukuru tu na kujiondokea.....
 
During the chase time is the right time kumchuna mwanaume, ndio maana hiyo period inakuwa prolonged. Tunajua tu kama mkipewa mnachotaka fasta fasta mtasepa tu, kweni hatumijui kama nyinyie pia matapeli.

Hiki Kisambaa hiki....Tanga line eeh?
 
Mapozi kidoncho kunogesha. Lol!
Sometimes tunahitaji tu company yenu na sio mambo yetu yaleeeeee!
Akijileta ujue amemiss coy yako.
 
Kuna kukubaliwa ka aina 3;

1.Mwanamke naye alikua anakupenda,hapo kaka hutasumbuliwa

2.Amekuonea huruma baada ya kulia sana(wameumbwa na huruma dats y wanaume wengine wanamwaga hadi chozi)

3.Financially your stable
 
Kutongozwa nako raha jamani, shuti umsumbue sumbue kidogo ili aendelee kukutongoza.
Mwanamke lazima umsumbukie eti, siyo kirahisi rahisi tu.
 
Kutongozwa nako raha jamani, shuti umsumbue sumbue kidogo ili aendelee kukutongoza.
Mwanamke lazima umsumbukie eti, siyo kirahisi rahisi tu.

Koku...nyie mnatusumbukiaga? what do we get in return?
 
To be honest binafsi msichana akishazingua mara moja nasepa jumla hata anitafute vipi nakuwa nasita kwa experience nilizokutana nao wasichana wanaosumbua kuwapata wakipenda ni wasumbufu sana kipindi cha kuachana, utajuta kwa nini ulitoka nae atavyokukomalia mpaka basi, but girls anayejua nini anataka yeye yes au no anakujibu fasta so that you can move on,

Life la kisasa ni gumu linatu keep busy kimawazo na hata muda mwingi unakuwa kwenye mihangaiko na stress kibao, sasa huo muda wa kutongoza mwanamke a year utatoka wapi wakati kila siku unakutana na anayevutia zaidi wa jana, I think nitapokutana na naejua huyu ndo niliyepangiwa nae kujenga familia labda nitaweza, lakini hawa wa try and error huwa sifosi mara mbili, tena nikiona hapa feelings zipo juu atanitesa najikaza kiume to delete her number hili hata nikimkumbuka niwe sina contacts, then naongeza spidi kwenye resi ili hata tukikutana mbeleni akiwa na mweingine tuheshimiane kwa mafanikio ya mihangaiko yangu na ajue kwa nini sikupoteza muda kumtongoza wakat hakuonesha interested, my mom told me that mwanangu penda unapopendwa, ukiona dalili mtu hayuko interested kimbia fasta so that you won't disturb your mind ili na yeye aje kusema one day, may be I was wrong to say NO to that guy
 
Back
Top Bottom