Nashndwa kuelewa hii chemistry ya wanawake.

Tatizo lenu wanaume ni hivi, mnataka mpewe majibu hapo kwa hapo.. We need time kuwajua vizuri. (hakuna specific duration) hivyo unaweza kataliwa mwanzo taratibu baada ya muda mkiwa mna spend time together, na kuongea mara kwa mara, tukaona WHY NOT GIVING IT A TRY. Sasa unapo back out upesi inaonesha huna nia kaizer!

Tatizo huwa mnasema sitaki kumbe unataka si unamjibu pale pale kuwa naomba muda nijifikirie kuliko kusema sitaki kesho unaanza kumfukuzia wewe tena ooh jamani baby mbona hivyo
 
kumbe ukikataliwa huna sababu ya ku-conclude kwamba umekataliwa eeh? ni ngumu kidogo kupata mantiki but sasa naanza kuelewa kwa nini baadhi ya wanaume huwa wanakuwa ving'ang'anizi wanapoamua kumvalia njuga binti..

Inategemea cartura.. Ukiwa king'ang'anizi sana mahala ambapo hakuna matumaini utaumia!
 
Tatizo huwa mnasema sitaki kumbe unataka si unamjibu pale pale kuwa naomba muda nijifikirie kuliko kusema sitaki kesho unaanza kumfukuzia wewe tena ooh jamani baby mbona hivyo

hahaha hamna dogo nyie mkiambiwa najifikiria mnaona mshakubaliwa...
 
mtafutaji hachoki mtukwao. Kama unajua umependa and there's a chance, kwanini ukate tamaa. Sema kuna wengine usumbufu, anajua hakuna hata chembe ya mafanikio bado anang'ang'ania. That is not good at all!

Umewahi ng'ang'aniwa na mwanaume king'ang'anizi analia hadi kulia ukimkataa
 
Just making sure kama still interest ipo au haipo, na hata kama ipo haimaanishi kama anakutaka pia. Its just we love the chase, mbwa si lazima awe anataka kuendesha gari anapolikimbiza.

Madame hii mipasho yako.........!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

So sie mbwa kukimbiza gari ndo majaaliwa yetu.......na nyie magari mwaona raha kukimbizwa na mbwa hata kama hataki kuliendesha?????

Leo nimejua kitu kubwa sana mie
 
Wow...I like that metaphor, umeona sasa kumbe hata kama interest ipo au haipo, haimaanishi kuwa anakutaka....sasa dont u think it wise to count your blessings and log off from the chase?

Ninachomaanisha ni kwamba as much as you love the chase...there must be a limit...hata mbwa akifukuza gari, kuna wakati anarealise kwamba mmmhh...I aint gonna catch this dude....maajabu ni pale mawenye gari anapomshangaa mbwa anapoback off...lol

Just to see how intense can be, who doesn't like the attention after all
 
Tatizo lenu wanaume ni hivi, mnataka mpewe majibu hapo kwa hapo.. We need time kuwajua vizuri. (hakuna specific duration) hivyo unaweza kataliwa mwanzo taratibu baada ya muda mkiwa mna spend time together, na kuongea mara kwa mara, tukaona WHY NOT GIVING IT A TRY. Sasa unapo back out upesi inaonesha huna nia kaizer!

Sasa hapa unazua mjadala mpya

Hivi kweli nyie huwa mnatupenda au ni convincing power ya mwanaume ndo ina hold the existance or extinction????
 
Inategemea cartura.. Ukiwa king'ang'anizi sana mahala ambapo hakuna matumaini utaumia!

Hapo unapo ng'ang'ania unataka utimize malengo yako uliyo jiwekea kama kuoa mke mzuri mwenye mvuto kila idara akianza kutoka nje na mabwana wengine mi kwakukosa kumhudumia usafiri wa tax. nakadhalika lakini lengo langu litakuwa limetia
 
Just to see how intense can be, who doesn't like the attention after all

Intensity ikiwa maximum???
Attention ikiwa at the highest level????

Threshold inajulikana kwa indicators gani?

Wapi nafasi ya feelings?? Mbona ni kama utakuwa unarespond kwenye stimulus tu??? Does it mean kuwa wewe unapenda hizo characters na sio anayezihold????

Now m starting to see kwa nini vilio vyenu haviishi as hoy hapo juu ni volatile
 
Apa tupo pamoja mkuu...ndo mambo ya msingi nimemuuliza MadameX apo juu.....wakitendwa baadaye wanalalamika wanaume wabaya...ubaya wanauanza wenyewe...
 
Sasa hapa unazua mjadala mpya

Hivi kweli nyie huwa mnatupenda au ni convincing power ya mwanaume ndo ina hold the existance or extinction????

Hivi wewe ole unadhani pale mnapotakana na kukubaliana mapenzi yapo 100%. Mapenzi yanajengeka ndani ya mahusiano. Ni pale unapoweza kumconvince ataanza kujenga interest, na kukupenda eventually! Baada ya hapo sasa ita determine kama ulikua muongo au mkweli (ndani ya mahusiano.)
 
Apa tupo pamoja mkuu...ndo mambo ya msingi nimemuuliza MadameX apo juu.....wakitendwa baadaye wanalalamika wanaume wabaya...ubaya wanauanza wenyewe...

Play boys hapa my son wanakula chabo na kuchukua maujuzi tu.........n thus no waonder akikutana na mwenye threshold kubwa anasogea mwishowe mama huruma
 
Back
Top Bottom