Wimbi la wanawake wapenda pesa linapungua kwa speed sana

miles45

JF-Expert Member
Jan 4, 2019
3,468
8,287
Kuna kitu kimoja nakiona saizi wanawake ni kama ile akili ya kupenda pesa kutoka kwa mwanaume inaanza kuwaisha.

Wanawake sasa wanatafuta mapenzi ya dhati kutoka kwa wanaume.na huku wanaume akili ya kutulia na mwanamke mmoja imetoweka kabisa.

Imefika hatua Mwanamke yoyote utakae muonesha ukarimu tu lazima akupende hii inaenda hata kwa wale wahudumu wa bar ambao tuliamini wale hawapendi wapo kipesa zaidi ila now ukimuonesha tu kumjari ile kikawaida kabisa yaani unampa hai kistaarabu na kumpigisha story mbili tatu kama mshikaji tu na ukamnunulia japo maji halafu usimuombe namba.

Ukimfanyia hivyo mara mbili tatu tu anakupenda na usipo muonesha hali ya kuto mtaka kimapenzi ndio kama unamkoleza.

Sio hapo tu sehemu yoyote yenye mchangamano na watu kama mwanaume ukiwa humble na maisha piga story na watu wote , wape ofa kama uwezo upo na jokes mbili tatu mademu waliopo hapo lazima wakupende.

Ishi maisha halisi, usioneshe dharau, heshimu kila mtu haijalishi anatako au bapa, be smart, onesha hauna shida ndogo ndogo usipo tongozwa na mademu njoo umuambie melo ani burn na nipo tayari kuka burn ya maisha.

Ila cha kusikitisha wengi wao wanakuja kugundua kuwa pesa sio dili sana kwao ni Bora wangepata mwanaume mmoja wa kuwatunza wakiwa wamechelewa na kukongoroka.

NB
Wanawake hizo pesa mnazo jidanganya mnazitafuta kiukweli kabisa hamta Zipata ila mtaishia kuchakazwa tu miili yenu haija umbiwa mizigo..... na mtachakaa haswa
 
Acha kujidanganya, hata sisi tunao date na wanawake wenye uwezo kifedha, wanataka tulipe bills zao zote, na tuwafanyie bank transfers. Tofauti na nyie ndugu zanguni, mnatuma na ya kutokea.

Kifupibtu"Wanawake ni walewale, walio ongea na nyoka na wakaelewana"
 
Mmh wanawake hawa ninawowajua au wengine? Itakuwa umekula mwewe.
Nenda kwa mwanamke yoyote usimuoneshe kumtaka kimapenzi ila mchukulie kama mwana tu akihitaji msaada mchukulie kama jamaa tu kama unacho mpe kama huna sema sina. Usimfanye muhimu sana ila muheshimu kama binadamu wengine vile kama upo bar ukawa unakula vitu vyako ukaona anazengea zengea muulize vipi unatumiaga na wewe akisema ndio mkaribishe au kama zipo mnunulie. Maliza muage kawaida kabisa ondoka ukimfanyia mara mbili tatu lazima aanze yeye kukufukuzia
 
Acha kujidanganya, hata sisi tunao date na wanawake wenye uwezo kifedha, wanataka tulipe bills zao zote, na tuwafanyie bank transfers. Tofauti na nyie ndugu zanguni, mnatuma na ya kutokea.

Kifupibtu"Wanawake ni walewale, walio ongea na nyoka na wakaelewana"
Naamini wewe zinafatwa hela zako na sio wewe. Wenzio huku hata kama hatuna pesa za mafuta kwa ajiri ya road trips wanatoa wenyewe
 
Sio kweli, hicho kitongoji unachoongelea labda kwa wahadzabe au nchi za ulaya. Hii tz haifai, watu tumeblock namba za kutosha kwa sababu ya kuombwa pesa.
 
Kuna kitu kimoja nakiona saizi wanawake ni kama ile akili ya kupenda pesa kutoka kwa mwanaume inaanza kuwaisha.

Wanawake sasa wanatafuta mapenzi ya dhati kutoka kwa wanaume.na huku wanaume akili ya kutulia na mwanamke mmoja imetoweka kabisa.

Imefika hatua Mwanamke yoyote utakae muonesha ukarimu tu lazima akupende hii inaenda hata kwa wale wahudumu wa bar ambao tuliamini wale hawapendi wapo kipesa zaidi ila now ukimuonesha tu kumjari ile kikawaida kabisa yaani unampa hai kistaarabu na kumpigisha story mbili tatu kama mshikaji tu na ukamnunulia japo maji halafu usimuombe namba.

Ukimfanyia hivyo mara mbili tatu tu anakupenda na usipo muonesha hali ya kuto mtaka kimapenzi ndio kama unamkoleza.

Sio hapo tu sehemu yoyote yenye mchangamano na watu kama mwanaume ukiwa humble na maisha piga story na watu wote , wape ofa kama uwezo upo na jokes mbili tatu mademu waliopo hapo lazima wakupende.

Ishi maisha halisi, usioneshe dharau, heshimu kila mtu haijalishi anatako au bapa, be smart, onesha hauna shida ndogo ndogo usipo tongozwa na mademu njoo umuambie melo ani burn na nipo tayari kuka burn ya maisha.

Ila cha kusikitisha wengi wao wanakuja kugundua kuwa pesa sio dili sana kwao ni Bora wangepata mwanaume mmoja wa kuwatunza wakiwa wamechelewa na kukongoroka.

NB
Wanawake hizo pesa mnazo jidanganya mnazitafuta kiukweli kabisa hamta Zipata ila mtaishia kuchakazwa tu miili yenu haija umbiwa mizigo..... na mtachakaa haswa
nikununulie maji afu nisiombe namba! itakuwa wamenichawia
 
Ni wachache saana. Na kuwapata nikipengele kikubwa hapo. Maana hao wasio penda pesa labda amekuzwa katika malezi sahihi au amechakazwa sana na wajuba
 
Back
Top Bottom