mzushi flani
JF-Expert Member
- Jan 20, 2020
- 1,626
- 2,482
huyo kula tu ni halali, mi nlihisi ni mke wa kakaako au mdogo wako.Mdogo wa wife
nasikia hainaga ushemeji tunakulaga- manfongo.
hakikisha mkeo hatakuja kujua vinginevyo ACHA.
huyo kula tu ni halali, mi nlihisi ni mke wa kakaako au mdogo wako.Mdogo wa wife
Nauli ya kurudi kwenu unayo?Kwa anayoyafanya ni dhahiri kuwa anaonesha kunipenda. Uzungu zungu mwingi sana sometimes nikirudi ananikumbatia kwa furaha...anavaa tu nguo flani hivi nyepesi nyepesi... Yaani ni Full Ulaya Ulaya...
Sasa najiuliza huyu mtoto yupo serious kweli au ametumwa anitege? Hapo pananipa shida sana ....najikuta njia panda. Sielewi kama nipo katika majaribu au ndo hivyo ....
Nitumie namba zake nimkanye..Kwa anayoyafanya ni dhahiri kuwa anaonesha kunipenda. Uzungu zungu mwingi sana sometimes nikirudi ananikumbatia kwa furaha...anavaa tu nguo flani hivi nyepesi nyepesi... Yaani ni Full Ulaya Ulaya...
Sasa najiuliza huyu mtoto yupo serious kweli au ametumwa anitege? Hapo pananipa shida sana ....najikuta njia panda. Sielewi kama nipo katika majaribu au ndo hivyo ....
🤣🤣🤣Ushafika Njia Panda sio!?
Angalia geti la kwanza, la pili, la Tatu umefika.
Analeta hivyo vimbwanga dada yake akiwepo?Mdogo wa wife
Aje tu,🤣🤣🤣
Mkuu anakuja kwako.
Simply unaishi kwa brother au sioKwa anayoyafanya ni dhahiri kuwa anaonesha kunipenda. Uzungu zungu mwingi sana sometimes nikirudi ananikumbatia kwa furaha...anavaa tu nguo flani hivi nyepesi nyepesi... Yaani ni Full Ulaya Ulaya...
Sasa najiuliza huyu mtoto yupo serious kweli au ametumwa anitege? Hapo pananipa shida sana ....najikuta njia panda. Sielewi kama nipo katika majaribu au ndo hivyo ....