Nashindwa mwelewa Shemeji yangu

Nashindwa mwelewa Shemeji yangu

Komeo Lachuma

JF-Expert Member
Joined
Oct 31, 2014
Posts
11,180
Reaction score
22,801
Kwa anayoyafanya ni dhahiri kuwa anaonesha kunipenda. Uzungu zungu mwingi sana sometimes nikirudi ananikumbatia kwa furaha...anavaa tu nguo flani hivi nyepesi nyepesi... Yaani ni Full Ulaya Ulaya...

Sasa najiuliza huyu mtoto yupo serious kweli au ametumwa anitege? Hapo pananipa shida sana ....najikuta njia panda. Sielewi kama nipo katika majaribu au ndo hivyo ....
 
Muhimu uwe na mafuta ili umarahisishie kazi broh
 
Back
Top Bottom