Kwa maisha kama yako hupaswi kumtegemea mtu, simama wewe kama wewe na yaliyopita yaache maisha ni safari ndefu wapo wenye historia ya kutisha wewe cha mtoto.
Piga kazi tafuta furaha yako.
Expect nothing always wala hutokaa uumizwe... dependence ni mbaya sana sema watu hawalitambui hilo.