Kwanza pole..ila hvyo ulivyokua wewe ndivyo nlivyokuaga mimi..yani ni hvyohvyo..niliwekaga roho za visasi vibaya mno..ila kilichonikomboa ni maombi na kufunga..muombe Mungu akupe ujasiri wa kuachilia machungu moyoni mwako..na uwe tayari kujiweka huru maana apo hauna tofauti na mfungwa..hivyo nilivyofanya mimi kwa imani yangu sasa niko poa kabisa..yani hata nipewe madhila ya namana gani..najikutaga tu natabasamu..kingine kama hauamini sana katika maombi/dua tafuta wale madokta wakupe msaada wa kisaikolojia zaidi..ni hayo tuHabarini Ndugu zangu humu ndani;
Niende kwenye mada moja kwa moja, kuna vitu ambavyo nimekuwa nikiishi navyo katika nafsi yangu toka nikiwa bado mdogo nahivyo vitu vimekuwa vikiniumiza sana kiakili yaani niyale mambo ambayo nilishafanyiwa/ kusingiziwa toka nikiwa bado mdogo nampaka sasa hivi bado na mengine yanaenda huku yanaongezeka katika kichwa changu yaani tatizo nakuwa nachuki nawahusika kila nikikumbuka Yale ambayo wamenitenda kuna mengine niyakawaida na mengine sio yakawaida ila kila nikijitahidi kusamehe nakusahau nashindwa kabisa image tukio lakwanza kabisa kuniumiza nilikuwa darasa latano ila mpaka sasa hivi imeshapita miaka zaidi yakumi ila bado huwa linaniumiza na mengine mengi yaliyofatia,
Lengo langu kuja kwenu nifanyeje ili angarau niweze kusamehe nakusahau? Maana nimejikuta hata katika mahusiano yangu inakuwa nitatizo kwasababu naweza kufanyiwa kosa dogo sana na mwenzangu ila action yangu inakuwa nikubwa sana naninakuwa mgumu sana kumsamehe yaani najikuta tu nipo hivyo. Mara nyingi sina tabasamu usoni nimtu ambaye mda mwingi nipo serious/hasira, mawazo kibao namara nyingi huwa natamani nije niwaumize kivyovyote vile wale walioniumiza kwanamna moja ama nyingine, Sina mahusiano mazuri nawatu maana kupenda kwangu kuwa kivyanguvyangu wenyewe wanatafsiri naringa namara nyingi sijali, yaani nipo hivyo sipo happy kabisa kama kuna njia ambayo inaweza kunisaidia kutoka katika hii hali basi mnaweza kunisaidia lengo hasa niwe nauwezo wakupotezea madhaifu madogomdogo yabinadamu wenzangu/mpenzi, naniwe naweza kusamehe nakusahau
Nashukuru Ndugu yangu acha niombe tu mungu maana kuna wakati ndio nakuwa katika hali mbaya sana yaani naweza kushinda siku nzima nawaza matukio yote mpaka machozi unitokaKwanza pole..ila hvyo ulivyokua wewe ndivyo nlivyokuaga mimi..yani ni hvyohvyo..niliwekaga roho za visasi vibaya mno..ila kilichonikomboa ni maombi na kufunga..muombe Mungu akupe ujasiri wa kuachilia machungu moyoni mwako..na uwe tayari kujiweka huru maana apo hauna tofauti na mfungwa..hivyo nilivyofanya mimi kwa imani yangu sasa niko poa kabisa..yani hata nipewe madhila ya namana gani..najikutaga tu natabasamu..kingine kama hauamini sana katika maombi/dua tafuta wale madokta wakupe msaada wa kisaikolojia zaidi..ni hayo tu
nategemea kuwafundisha watu somo hili muda si mrefu ungekuwa karibu ningekukaribisha kama baada ya saa moja na hii inaweza kuwa sehemu ya case study nikirudi nitakupa mchango wangu vizuri kwa sasa soma warumi 12:17-21, efeso 4:26-27Habarini Ndugu zangu humu ndani;
Niende kwenye mada moja kwa moja, kuna vitu ambavyo nimekuwa nikiishi navyo katika nafsi yangu toka nikiwa bado mdogo nahivyo vitu vimekuwa vikiniumiza sana kiakili yaani niyale mambo ambayo nilishafanyiwa/ kusingiziwa toka nikiwa bado mdogo nampaka sasa hivi bado na mengine yanaenda huku yanaongezeka katika kichwa changu yaani tatizo nakuwa nachuki nawahusika kila nikikumbuka Yale ambayo wamenitenda kuna mengine niyakawaida na mengine sio yakawaida ila kila nikijitahidi kusamehe nakusahau nashindwa kabisa image tukio lakwanza kabisa kuniumiza nilikuwa darasa latano ila mpaka sasa hivi imeshapita miaka zaidi yakumi ila bado huwa linaniumiza na mengine mengi yaliyofatia,
Lengo langu kuja kwenu nifanyeje ili angarau niweze kusamehe nakusahau? Maana nimejikuta hata katika mahusiano yangu inakuwa nitatizo kwasababu naweza kufanyiwa kosa dogo sana na mwenzangu ila action yangu inakuwa nikubwa sana naninakuwa mgumu sana kumsamehe yaani najikuta tu nipo hivyo. Mara nyingi sina tabasamu usoni nimtu ambaye mda mwingi nipo serious/hasira, mawazo kibao namara nyingi huwa natamani nije niwaumize kivyovyote vile wale walioniumiza kwanamna moja ama nyingine, Sina mahusiano mazuri nawatu maana kupenda kwangu kuwa kivyanguvyangu wenyewe wanatafsiri naringa namara nyingi sijali, yaani nipo hivyo sipo happy kabisa kama kuna njia ambayo inaweza kunisaidia kutoka katika hii hali basi mnaweza kunisaidia lengo hasa niwe nauwezo wakupotezea madhaifu madogomdogo yabinadamu wenzangu/mpenzi, naniwe naweza kusamehe nakusahau
goooooood! jibuKwanza pole..ila hvyo ulivyokua wewe ndivyo nlivyokuaga mimi..yani ni hvyohvyo..niliwekaga roho za visasi vibaya mno..ila kilichonikomboa ni maombi na kufunga..muombe Mungu akupe ujasiri wa kuachilia machungu moyoni mwako..na uwe tayari kujiweka huru maana apo hauna tofauti na mfungwa..hivyo nilivyofanya mimi kwa imani yangu sasa niko poa kabisa..yani hata nipewe madhila ya namana gani..najikutaga tu natabasamu..kingine kama hauamini sana katika maombi/dua tafuta wale madokta wakupe msaada wa kisaikolojia zaidi..ni hayo tu
Nashukuru mkuuKwakawaida darasa la kwanza watoto huanza wakiwa na umri wa miaka 7
Sasa kama ulitendewa kosa darasa la 5 na leo imeshapita miaka 10 ina maana umri wako Appx ni miaka 22
Nadhani ukikua na kua na akili iliyokomaa utabadilika tu,
Jichanganye na watu,acha stress zisizo za ulazima,usikate tamaa ya maisha,amini Mungu,penda kufanya jambo/mambo yanayokufurahisha kila muda,fanya mazoezi ya viungo.
Upo sawa kabisa, ujue kiukwel kabisa kuna vitu vingi sana sina wakumuelezaKuna tatizo ktk mfumo wako wa maisha tafuta mtu unaemwamini au mwenye uwezo wa kukushaur share nae mambo yako...au tafuta mwanasaikologia kama una pesa akufanyie cancelling
Nashukuru/nitashukuru mkuunatege
nategemea kuwafundisha watu somo hili muda si mrefu ungekuwa karibu ningekukaribisha kama baada ya saa moja na hii inaweza kuwa sehemu ya case study nikirudi nitakupa mchango wangu vizuri kwa sasa soma warumi 12:17-21, efeso 4:26-27
Upo sawa yaani nimfumo mzima wamaisha niliyokulia ndio tatizo[/QUOT
Pole sana,,hapo wa kujiokoa na hilo zigo ni wewe Mwenyewe,, wengine tutashauri tu ila hatua chukua Mwenyewe binafsi,,kataa hiyo hali kabisa,,hesabu mema tu Mungu aliyokutendea(kuwa hai tu ni Baraka kubwa) sali,soma vitabu na makala mbali mbali za wanasaikolojia,,,jichanganye na watu ,,utaona
Ipo hivi mimi sijalelewa nawazazi wangu kabisa kusema ndio wakunizaa ila nimelelewa namama zangu wakubwa kutoka namama yangu kufariki me nikiwa bado mdogo nakwabahati mbaya baba yangu nae aliikataa mimba yangu.Habarini Ndugu zangu humu ndani;