Menu/User interface ya Mobile Money/Banking inaweza kuwa accessed kwa kutumia mobile phone ya mtu mwingine?

Infantry Soldier

JF-Expert Member
Feb 18, 2012
15,893
16,317
Shikamooni wakubwa zangu wote wa hapa jamiiforums. Mimi mdogo wenu Infantry Soldier nipo salama kabisa na mzima wa afya.

Ninaomba radhi kwa uandishi utakaokosa mpangilio. I'm sorry in advance.

Scenario One: Is this possible kwamba, mimi ninatumia simcard ya Tigo kwa huduma za Tigo Pesa ila kwa bahati mbaya simu yangu imeisha chaji lakini nikaomba simu ya jirani yangu anayetumia simcard ya provider mwingine let's say Vodacom, Airtel, Halotel, TTCL ama Smart kisha nikabonyeza *150*01# kisha ikaja Menu ya kunitaka niingize Username (Tigo Mobile Number) pamoja na password (Tigo Pesa PIN) na kuweza kuendelea na transactions za Tigo Pesa kama kawaida? For Telecom Engineers, Is this possible?


Scenario Two: Kwa sasa mtu akitaka ku-access mobile banking Menu/User interface ni lazima simcard yake isajiliwe na bank husika (let's say CRDB) kisha ndio afanye transactions za ki-bank kupitia mobile phone. Kwanini hizi Menu za mobile banking zisiwe zinapatikana kwa provider yoyote yule ili mradi tu simu iwe na airtime ya kutosha kisha mtu anabonyenza, mfano MNB *150*66#, kisha anaendelea kufanya transactions za NMB kupitia mobile phone ya mtu mwingine?

KIJANA KUWA MZALENDO IPENDE TANZANIA.
IMG_20181203_121456_984.jpg
 
Ni gumu mkuu, payment systeam za m pesa, tigo pesa ni text based ndo maana wanatumia USSD ni vigumu ku connect na network ndo maana ili kuhamisha m pesa to crdb banb ac yako wametumia pia zile ussd za crdb
 
Sina uhakika no 2, ila no 1 inawezekana.

Siku hizi kuna apps za Miamala ya pesa unaweza ukatumia hizi apps hata kama huna line yako.

Mfano mimi simu yangu ina app ya tigopesa, na simu hii line ninayotumia ni vodacom, hata kama line yangu ya tigopesa ipo nyumbani na mimi nimetoka kupitia hii app naweza kuweka na kutoa pesa.
 
Back
Top Bottom