Nashindwa kumuondoa kichwani

Nashindwa kumuondoa kichwani

Dah jamaa ana katrick kazuri ka kumfanya mtu amkimbie mwenyewe baada ya kuwa amemaliza mahitaji yake.
 
Ha ha ha kweli mkuu. Lakini ushangae binti ndio kwanza anamganda mshkaji. Dada zetu hawa hawaeleweki. When you , treat them nicely, they walk all over you but when you treat them like dog poop wanakung'ang'ania.
 
Anafanya makusudi huyoo,hakupendi ila alikuwa anatafuta gia ya kukufukuzia....akufukuzae hakuambii toka

Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Mi naamin ndege mjanja hunasa kwny tundu bovu! Kama ushanasa salim amri, ingawa mwenzio hajanasa bado
 
Depends wewe unataka nini ? Sio kila relationship lazima mwisho wake muwe pamoja.., kama na wewe shida yako ni starehe za muda mfupi basi unaweza ukaendelea na no strings attached.., mkimaliza sio lazima ubakie kusikiliza maneno yake unaweza ukaondoka
 
Habarini za asubuhi wapenzi wangu humu ndani naomba msaada wa mawazo niko njia panda mwenzenu nlikutana na huyu kaka muda kidogo tukawa marafiki mpaka wapenzi akanambia kuwa yeye wasichana huwa wanamuacha ila mimi nkimwangalia hana sababu ya kuachwa basi ikafika siku tukapanga mimi nkaenda kulala kwake mh mwanaume anamaneno ya ajabu kiukweli nkamwambia kama ni kweli huwa unaongea maneno haya kwa wanawake hawawezi kukuvumilia jaman sio wakati wa sex no inakuwa mshamaliza mnapiga tu story anaanza kuongea mambo ya ajabu.

Mara ajifanye anajilaumu wewe kwenda kulala kwake mara anajifanya anampenzi anampenda sana mara eti usije nizoea ukajibebesha mimba ili mradi akukele tu basi kiukweli nikashindwa nikamwambia maneno haya yote uko serious akasema ndio nikamwambia hata mie sirudi tena.

Kweli since that day hatujawasiliana tena na kama mwezi hivi ila mie nashindwa kabisa kumtoa kichwani namuwaza muda wote kozi nilienjoy sana sex nae na pia yeye pia alinambia najua umechukia but usiku wetu ulikuwa poa sana naomba ushauri nirudi ili nimzoee au niachane nae please ushauri nauitaji zaidi.

Trust me itakuchukua si chini ya miaka mi3 kuweza kumsahau na kusonga mbele na maisha! mengine yoote ni kujichanganya na kujiongezea tu maumivu
halafu zinapokuja feelings zozote za kumuwaza usizizuie let them hurt you because when they go will go forever
Ukizizuia zitaenda na kurudi kila wakati mwisho zitadisturb medula oblangata yako
 
Ukirudi unajitafutia matatizo atakubuluza sababu kwake huna ujanja
 
Depends wewe unataka nini ? Sio kila relationship lazima mwisho wake muwe pamoja.., kama na wewe shida yako ni starehe za muda mfupi basi unaweza ukaendelea na no strings attached.., mkimaliza sio lazima ubakie kusikiliza maneno yake unaweza ukaondoka
Mimi sikuwa na wazo lakumganda yeye anioe au eti nijibebeshe momba mtu mwenyewe kama maisha ndo anayaanza so sikuwa na wazo lakumganda kiivyo alivyodhani yeye na pia alinikuta kwny wakt ambapo nimeachana na mpenzi wangu wa mda mrefu kama five years kwa tofauti za kidini so nilikuwa na wazo la tupeane raha Mungu akipenda may be but mwanaume anamdomo mchafu ka shimo la choo ana vigubu vya chini chini na pia mpaka kwenda kulala kwake ilikuwa just kufurahishana tu sio kama yeye alivyochukulia ndo hvyo.
 
ndo hvyo sasa nafanyaje kwa hili ye mjanja sina neeno

My dia think twice bora uumie kwa sasa kuliko akucheezeee, akupotezee mda, pengine upate mimba, afu at end akuache

Mwanamke wa ukweli unatakiwa ujitambue na ufanye maamuzi mazito hata kama moyo unavuja kwa maumivu unavumilia kwa maana huyu sio type yako tulia upate wa type yako.
 
Asante kwa uliyosema yote mema mama na ntafanyia kazi ushauri wako asante sana
 
Alichokuwa anataka kwako ameshapata,amekwambia usimzoee na pia akaonyesha kujutia mlichofanya!
Unataka nini tena kujua hakufai?
Mpelekee tena,wala hatokataa ila atakutukania mpaka makaburi ya kwenu.
 
Habarini za asubuhi wapenzi wangu humu ndani naomba msaada wa mawazo niko njia panda mwenzenu nlikutana na huyu kaka muda kidogo tukawa marafiki mpaka wapenzi akanambia kuwa yeye wasichana huwa wanamuacha ila mimi nkimwangalia hana sababu ya kuachwa basi ikafika siku tukapanga mimi nkaenda kulala kwake mh mwanaume anamaneno ya ajabu kiukweli nkamwambia kama ni kweli huwa unaongea maneno haya kwa wanawake hawawezi kukuvumilia jaman sio wakati wa sex no inakuwa mshamaliza mnapiga tu story anaanza kuongea mambo ya ajabu.

Mara ajifanye anajilaumu wewe kwenda kulala kwake mara anajifanya anampenzi anampenda sana mara eti usije nizoea ukajibebesha mimba ili mradi akukele tu basi kiukweli nikashindwa nikamwambia maneno haya yote uko serious akasema ndio nikamwambia hata mie sirudi tena.

Kweli since that day hatujawasiliana tena na kama mwezi hivi ila mie nashindwa kabisa kumtoa kichwani namuwaza muda wote kozi nilienjoy sana sex nae na pia yeye pia alinambia najua umechukia but usiku wetu ulikuwa poa sana naomba ushauri nirudi ili nimzoee au niachane nae please ushauri nauitaji zaidi.

Mmmmhhhhhh!!!!!! Wewe mbona unamtia aibu mwalimu wako? Ziko wapi alama za kiuandishi? Umenifanya niishiwe pumzi maana hamna nukta wala mkato.......... Elimu yako bado utata mtupu.:thumbdown:
 
kadodoo endelea naye huyo ndie mwanaume wa maisha yako

NB: Akili za kuambiwa changanya na za kwako
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom