Nashindwa kumuoa mzazi mwenzangu, bado ninatamani wanawake wengine

Chuo gani huwezi hata kuandika. Bora ulivyojisemea mwenyewe akili yako ndogo kweli.
 
Mim nikijana nna 26. Kuna dada nlimpata chuo ananipenda saana kanizalia katoto kana mwaka 1.5 sasa. Mahusiano yetu yana miaka mi3. Na nimda sana ananipigia kelele kuhus ndoa. Nami nnamthamin sana kwakuwa anamapenz yakweli kwangu. Tatizo mim ninatamaa sana ninawataman sana wadada wengine wananivutia zaid kuliko niliyonae. Kwa akili yangu ndogo nnaona nikimuoa huyu nikama nnajifunga. Kuna siku nilimgusia kuhus nature ya wanaume kuwa na tamaa akanambia "hata ukishanioa ningependa usichepuke lakin ukishindwa kabsa bas tumia condom na uwe makin usije ukapewa limbwata ukatelekeza familia" akili yang ndogo inanambia huyu dada sio wa kumwacha lakin akili yang ya kishetan inanambia ingawa kaniruhus lakin nikimuoa huku hanivutii sana wakat nikipata mchepuko atanibana sitaweza kuinjoy nae nyumban kwangu. Kwasabab wanawake wataokubali kuliwa juujuu tu wengi ni malaya tu lakin wale wanawake wazur waheshima nilazma atataka kuwa huru na mim na mpaka kuwa huru na nnapoishi ambapo itashndkana kwahyo nnaona nikiwa nae huyu sitokuwa huru na mahusiano na nnao wapenda kisex.

Jaman nisaidien nachanganyikiwa.
Unataka usaidiwe nn? Au unataka tukupe dawa ya kuacha uzinzi, nakushauri tulia na mke wako kumbuka mkataa pema pabaya panamwita.
 
Mim nikijana nna 26. Kuna dada nlimpata chuo ananipenda saana kanizalia katoto kana mwaka 1.5 sasa. Mahusiano yetu yana miaka mi3. Na nimda sana ananipigia kelele kuhus ndoa. Nami nnamthamin sana kwakuwa anamapenz yakweli kwangu. Tatizo mim ninatamaa sana ninawataman sana wadada wengine wananivutia zaid kuliko niliyonae. Kwa akili yangu ndogo nnaona nikimuoa huyu nikama nnajifunga. Kuna siku nilimgusia kuhus nature ya wanaume kuwa na tamaa akanambia "hata ukishanioa ningependa usichepuke lakin ukishindwa kabsa bas tumia condom na uwe makin usije ukapewa limbwata ukatelekeza familia" akili yang ndogo inanambia huyu dada sio wa kumwacha lakin akili yang ya kishetan inanambia ingawa kaniruhus lakin nikimuoa huku hanivutii sana wakat nikipata mchepuko atanibana sitaweza kuinjoy nae nyumban kwangu. Kwasabab wanawake wataokubali kuliwa juujuu tu wengi ni malaya tu lakin wale wanawake wazur waheshima nilazma atataka kuwa huru na mim na mpaka kuwa huru na nnapoishi ambapo itashndkana kwahyo nnaona nikiwa nae huyu sitokuwa huru na mahusiano na nnao wapenda kisex.

Jaman nisaidien nachanganyikiwa.
Koma wee. Huwezi kutumia akili yako ndogo kusema eti wanaume wote wana tamaa. Shika adabu na adabu ikushike. Unahitaji kupepewa ili akili ndogo na tamaa vikutoke uache ujinga wa kuona usawa wa pua. Utachoma wangapi mwanangu. Dawa ya tamaa ni kuridhika na kutumia akili kuwa hata ukipewa wote huwawezi mwanangu mwenye akili ndogo na tamaa.
 
Siyo wewe tu, asilimia kubwa ndo kinachowatesa vijana wengi wa kileo.TAMAA,KUTOKURIDHIKA ...
 
Mwanamke akikwambia hayo maneno eti hata ikitokea utumie kondom usione ni mwema sana yeye ndo anatumia sasa na wanamkulanga
 
Mim nikijana nIna 26. Kuna dada nIlimpata chuo ananipenda sana kanizalia katoto kana mwaka 1.5 sasa. Mahusiano yetu yana miaka mi3. Na nimda sana ananipigia kelele kuhusu ndoa.

Nami ninamthamini sana kwakuwa anamapenzi yakweli kwangu. Tatizo mimi ninatamaa sana ninawatamani sana wadada wengine wananivutia zaidi kuliko niliyenae. Kwa akili yangu ndogo ninaona nikimuoa huyu nikama ninajifunga

Kuna siku nilimgusia kuhusu nature ya wanaume kuwa na tamaa akanambia "hata ukishanioa ningependa usichepuke lakini ukishindwa kabisa basi tumia condom na uwe makini usije ukapewa limbwata ukatelekeza familia" akili yangu ndogo inanambia huyu dada sio wa kumwacha lakini akili yangu ya kishetani inanambia ingawa kaniruhusu lakini nikimuoa huku hanivutii sana wakati nikipata mchepuko atanibana sitaweza kuinjoy nae nyumbani kwangu.

Kwasababu wanawake wataokubali kuliwa juujuu tu wengi ni malaya tu lakini wale wanawake wazuri waheshima nilazima atataka kuwa huru na mimi na mpaka kuwa huru na ninapoishi ambapo itashindikana kwahiyo ninaona nikiwa nae huyu sitokuwa huru na mahusiano na ninao wapenda kisex.

Jamani nisaidieni nachanganyikiwa.

Hiyo picha imeharibu uhalisia wa simulizi yote
 
Chuo hajaenda kujifunza Mapenzi.
Ana haki ya kuomba ushaur wa kimapenz.

Mm nadhan , kwanza Punguza Tamaa na kwa sasa tulia kwanza kwenye kufanya uamuz wa kumuoa yupi., fanya mambo ya kimaisha na umlee mtoto wenu.

Alaf Kuzaa na mtu sio kwamba ndio umuoe.

Na pia Kama mama mtoto hakuvutii , usikurupuke kutafuta haraka anaekuvutia, tulia kidogo.

Give it some time Kijana, it will all make sense someday.
Huyu dogo ana tamaa pengine anaendelea kumla huyo mzazi mwenzie.

Awache zinaa haraka,zinaa inatamanisha kadri unapozidi kuifanya aiseee
 
Hawa jamaa wanawekaga picha zao harisi kwenye Avatar wanakuwaga na nyuzi za kitoto sana.
Hahaa yani wanakua ni wao ndo ujue hawana mawazo mtambuka. Watu tunaweka picha ambazo ki uhalisia zinabeba kitu fulani kutoka kwa muhusika na muwekaji picha. So kujiweka ww orijino it seems hata kifikra hajapanuka
 
Mim nikijana nIna 26. Kuna dada nIlimpata chuo ananipenda sana kanizalia katoto kana mwaka 1.5 sasa. Mahusiano yetu yana miaka mi3. Na nimda sana ananipigia kelele kuhusu ndoa.

Nami ninamthamini sana kwakuwa anamapenzi yakweli kwangu. Tatizo mimi ninatamaa sana ninawatamani sana wadada wengine wananivutia zaidi kuliko niliyenae. Kwa akili yangu ndogo ninaona nikimuoa huyu nikama ninajifunga

Kuna siku nilimgusia kuhusu nature ya wanaume kuwa na tamaa akanambia "hata ukishanioa ningependa usichepuke lakini ukishindwa kabisa basi tumia condom na uwe makini usije ukapewa limbwata ukatelekeza familia" akili yangu ndogo inanambia huyu dada sio wa kumwacha lakini akili yangu ya kishetani inanambia ingawa kaniruhusu lakini nikimuoa huku hanivutii sana wakati nikipata mchepuko atanibana sitaweza kuinjoy nae nyumbani kwangu.

Kwasababu wanawake wataokubali kuliwa juujuu tu wengi ni malaya tu lakini wale wanawake wazuri waheshima nilazima atataka kuwa huru na mimi na mpaka kuwa huru na ninapoishi ambapo itashindikana kwahiyo ninaona nikiwa nae huyu sitokuwa huru na mahusiano na ninao wapenda kisex.

Jamani nisaidieni nachanganyikiwa.

Mzee unapenda mizigo eeh...wee bwana kama unajijua kuwa una tamaa usioe kabisa tulia tuu
 
Back
Top Bottom