he hee heeee huelewi nini hapo??????
kwani kumsaidia mtu mpaka awe mpenzi wako?
si mmeachana kwa wema?na unataka mbakie 'friends'????
sasa ajabi iko wapi akimuomba a friend vocha??????
wenzio anaacha mke na mahakama inaamuru atoe pesa ya kila mwezi ya matunzo ya mtoto na mke mwenyewe
we ungeweza??????
Angalizo,huenda binti anatafuta njia ya kurudisha uhusiano wenu, sasa uwe makini ili usije ukajikuta umerudia uhusiano na kuumizwa tena.
Kama huwa anazikana sms basi mpotezee.. Heb ngoja kidogo, hivi akishakutumia hizo sms huwa unampigia simu kumuuliza ukiwa na lengo gani hasa? Na huwa unaulizaje ulizaje mkuu?
kama hutajali naomba unijibu arifu..!
huwa naanza tu kumtaarifu kwamba nimepata SMS yako ya tafadhali niongezee hela na hapo ndo anaanza swaga za kukataa kabla hata sijamuuliza nikutumie kiasi gani.