Nashindwa kumuelewa

Huyo jamaa anafanya ambacho me niliwahi kukifanya aisee lakini ukweli ni kuwa JAMAA ALIKUTAMANI NA HAKUPENDI TENAA...! Tafuta mwingne move on
 
Labda. Kuna kipindi alinambia anataka kubadilisha number. Nikamuuliza kwa nini akanijibu 'basi tu'. So labda sababu ni hiyo, alitaka tu kunikwepa
Pole mamy kuna muda inatakiwa ukubali ukweli,akufukuzae hakwambii toka.Inawezekana anajua unampenda na kukwambia ukweli kuwa hakuhitaji anaogopa kukuumiza.
 
Mi ukinijibu maswali yangu ndio nitakupa ushauri
1. Alikwenda Bukoba kufanya nini?
2. Mlikuwa mnaishi pamoja?
3. Wewe upo Dar unafanya nini?
4. Ana umri gani?
5. Alipoondoka wakati anakwenda.
Bukoba alikwambia nini? Au kama
wewe ndio uliondoka Bukoba kuja
Dar ulimwambia nini?
6. Je wazazi wenu wanajua kuwa
mlikuwa mnaishi pamoja?
7. Je wewe na yeye ni wadini moja?
8. Kwanini msingeoana kuliko kuwa
pamoja kwa muda wote huo?
9. Vp hali yake ya kiuchumi?
10. Mliweka malengo gani ya baadae
kwenye mahusiano yenu?
 
Nakukumbusha tu,kuwa makini na mafisi wanao kumendea huko pm..wataitumia hyo kama advantage.. wanafanya yao halafu watatokomea..utakuja kulia tena hapa
 
Bukoba ni kwao, but anafanya kazi huko. Hapana hatukuwa tukiishi pamoja. Dar ni kwetu and pia nafanya kazi. Alipoondoka tuliagana kama kawaida. Hatujawahi kuishi pamoja cause hatujaoana, wote ni dini moja ndiyo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Umeshawahi kwenda kumtembelea huko ukajua kuna kikwazo gani kinachomfanya kuwa kimya?
 
Hapana sijawahi
Fanya hivyo ukipata muda, usimlaumu usiejua mazingira aliyopo yakoje, kajionee mwenyewe ndipo utakapopata jibu. Na ndio utajua kama anakudharau, kakuchoka au kataitiwa hadi kushindwa kuwasiliana na wewe hali yoyote ile iliyopo.
 
Sawa. Asantee
 
Unaonekana una upendo wa kweli na jamaa lakini kwa mtazamo wangu jamaa alikua anakupenda mwanzo na kwa dalili hizo sasa amepata mwingine
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…