Nashindwa kumuelewa

Wa kwanza ndiyo. Na sijawahi kuwa in serious relationship na mwingine zaidi yake.
Okay hilo ni kawaida kutokea the sad truth ni kuwa jamaa ana mpango wa kukuacha just take it from me, sijajua una mapungufu gani ila huenda tatizo ni wewe au yeye! You might be nagging or complainig type of woman tabia ambayo imemzingua sana na kashakuchoka either sio mjanja sana katika mapenzi kwa jinsi alivyotarajia hilo ni moja na hizi tabia huwa ni common kwa inexperienced women!

Pili jamaa anaweza kuwa na tabia ya usaliti so ameshapata mwanamke mwenye wasifu zaidi ya ulio nao wewe, so ameonja akanogewa so kaona asepe zake kwa mtoto mpya! Ila anashindwa kukwambia mu break up anajua atakuumiza so ameamua adoji mahusiano yenu kupitia kuvunja mawasiliano!
 
Jiongeze dada,hizo siyo dalili nzuri!anakufanyia makusudi tu!unadhani pia atakua kazima simu muda wote huo?atakua na namba nyingine!

Pole sana,kwa uandishi wako unaonekana ni mdada fulani decent usiyekua na experience na haya mambo!
Bado hajapata ule tunaitaga "Ubatizo wa Moto!" Akishakaangwa moyo wake na huyu jamaa baada ya miezi kama 6 atakuwa mtu mpya kabisa! Bado ako na tabia za kiungwana sana ndio heartbreak ya kwanza, huwa ni ngumu mno kudeal nayo!
 
Una Chura?
 
Mkuu miaka minne bado ni wapenzi au wachumba??? Be serious tafuta mwanaume uolewe punguza kuharibiwa sehem zako za siri
 
Mpe mtihani alafu observe reaction yake. Kesho asubuhi mtumie text kua hali yako kiafya sio nzuri then usimtafute tena. Akiuchuna basi safari imefika mwisho tafuta usafiri mwingine.
Nimeshawagundua mchezo wenu
 
Niliposoma uzi nikajua we ni yule crisanta ninaemjua mimi ila uliposema umemtumia 5000 nikajua siyo wewe, kama ni mzuri kama crisanta naowajua nmekufuata pm nijibu tafadhali
 
Hebu mtumie tena 200,000 tuone atasemaje! Ile 5,000 uliyotuma kaona kama umemdharau hivi!!
 
Pole mdogo wangu ila huna mpenzi tena hapo. Anza kujipa mazoezi ya kumsahau na anza kwa kumchunia wala usimwambie muachane. Ukikaa kimya siku tano na hajakutafuta ujue machweo ndo yashafika.
Halafu siku nyingine usimpe mwanaume hela kama hajakuambia ana tatizo atakugeuza mama mlezi wake. Atakua anajikalisha kimya uwe unampa..
Jeuri mwenzie kusudi mpotezee huyo shemeji keshafundishwa katerero anaona miuono ya paka chongo sio kitu
 
Bado hajapata ule tunaitaga "Ubatizo wa Moto!" Akishakaangwa moyo wake na huyu jamaa baada ya miezi kama 6 atakuwa mtu mpya kabisa! Bado ako na tabia za kiungwana sana ndio heartbreak ya kwanza, huwa ni ngumu mno kudeal nayo!
Kweli kabisa Mkuu unachosema!
 
Hahaha,Miuno ya paka chongo ndio ikoje hiyo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…