Equation x
JF-Expert Member
- Sep 3, 2017
- 37,340
- 56,051
Miaka 3 ni mingi na kuruka vihunzi ni ngumu;kama unampenda siriazi mwambie wewe uko tayari kuishi naye hata sasa hivi cha muhimu wazazi wa pande mbili wafahamiane,harusi mtafanya huko mbeleni maisha yakiwa poa;kama na yeye anakupenda atakubali hilo ombi,vinginevyo atakuwa na mtu mwingine.Tulishawahi kuliongea akanijibu kuwa after 3 years..yeye akiwa 30. Sababu ni kuwa at that time ataweza kuimudu familia.
Thanks a lotMiaka 3 ni mingi na kuruka vihunzi ni ngumu;kama unampenda siriazi mwambie wewe uko tayari kuishi naye hata sasa hivi cha muhimu wazazi wa pande mbili wafahamiane,harusi mtafanya huko mbeleni maisha yakiwa poa;kama na yeye anakupenda atakubali hilo ombi,vinginevyo atakuwa na mtu mwingine.
Sawa dear. NashukuruPole sana Dada...ila jitaidi na wewe kuanza kumtoa kichwani na moyoni mwako kiutaratibu, ili usijejiumiza.
Na ikiwezekana, jaribu kununua attention yake kwa kumtangazia matatizo, kama vile unaumwa etc....ukiona inanunulika kwa urahisi, basi jua still anakupenda so you have to be patient tu--yataisha. Ila ukiona hali ya tofauti na hiyo....you just jiongeze Dada.
Usijari mama...Sawa dear. Nashukuru
Na akipigiwa hapokei je?Tatizo la simu ndio hili mpenzi akituma sms hajajibiwa oohh hanipendi tena, ngoja nikamuulize bibi wakati wake. Kulikuwa hakuna simu babu akiondoka wiki akirudi hulalamika kama hapendwi?
Nitarudi na mrejesho wa bibi
Ndukiiiii
Unajua binaadamu kuna baadhi ya siku unahitaji me time, hutaki kusumbuliwa na mtu hata awe mpenzi au bestfriend au wazee. Ikiwa jamaa bado ana upendo atakutafuta tu, lakini kama hakutaki hata salamu hatokupa. Ipo hivi mwanaume akimpenda mwanamke kuna wakati anataka amuowe, sasa unakuta mtu hana kazi hana hela hajui aanze wapi na hofu inatanda kwenye moyo wake ipo siku anaweza kukukosa. Sababu amechanganyikiwa na miaka inakwenda sasa jiulize Jee upendo upo kwenye simu,salamu, pesa au moyoni? Narejea tena anahitaji muda wa kutafakari pekee akimaliza atarudi tu.Na akipigiwa hapokei je?
Asante kwa kunipa mtazamo mwingineUnajua binaadamu kuna baadhi ya siku unahitaji me time, hutaki kusumbuliwa na mtu hata awe mpenzi au bestfriend au wazee. Ikiwa jamaa bado ana upendo atakutafuta tu, lakini kama hakutaki hata salamu hatokupa. Ipo hivi mwanaume akimpenda mwanamke kuna wakati anataka amuowe, sasa unakuta mtu hana kazi hana hela hajui aanze wapi na hofu inatanda kwenye moyo wake ipo siku anaweza kukukosa. Sababu amechanganyikiwa na miaka inakwenda jee upendo upo kwenye simu,salamu, pesa au moyoni? Narejea tena anahitaji muda wa kutafakari pekee akimaliza atarudi tu.
Ndukiiiii
Nilitaka kutoa ushauri ila kwa hili jibu ngoja nikuache tu walimwengu wakufundishe. Wanasema kenge hasikii mpaka pale damu itakapotoka masikioni. Siombei yakufike hayo lakini nasikitika upo kwenye hiyo njia.Tatizo ndo lipo hapo kwenye kufanikiwa kuachana nae. Najitahidi lakini ni ngumu
Kiukweli mdogo wangu hapo unapoteza muda, mwanaume anaekupenda ht km hana simu hawezi kukaa zaidi ya siku nne bila kukutafuta au kukupa sababu ya yy kutokuwa hewani.Yeye yupo Bukoba. Mimi nipo Dar, kwa sababu ambazo zipo nje ya uwezo wetu kwahiyo ni muda mrefu hatujaonana toka August. Na nlishawahi kumuuliza kwa nini kuna muda lazima awe hivyo alichonijibu ni kuwa nimvumilie tu, ananipenda na mm ndo mwanamke wake wa maisha. Ananipa wakati mgumu, na huwa anasema maneno hayo kila nkimuomba explanation
Na huenda huko alipo jamaa kaoa kbsJiongeze dada,hizo siyo dalili nzuri!anakufanyia makusudi tu!unadhani pia atakua kazima simu muda wote huo?atakua na namba nyingine!
Pole sana,kwa uandishi wako unaonekana ni mdada fulani decent usiyekua na experience na haya mambo!
Which means mtakuwa na mahusiano ya miaka 7????Tulishawahi kuliongea akanijibu kuwa after 3 years..yeye akiwa 30. Sababu ni kuwa at that time ataweza kuimudu familia.
Na lazima yamfike, bado hana experience ya haya mambo.Nilitaka kutoa ushauri ila kwa hili jibu ngoja nikuache tu walimwengu wakufundishe. Wanasema kenge hasikii mpaka pale damu itakapotoka masikioni. Siombei yakufike hayo lakini nasikitika upo kwenye hiyo njia.