Nashindwa kumuacha mwanamke niliyenaye

Nashindwa kumuacha mwanamke niliyenaye

Jamani wana JF msaada wenu maana nimeshindwa kumuacha mwanamke nimedumu naye kwa miaka mitatu hadi sasa lakini sio chaguo langu la kuoa. Sasa kila nikimuacha baadaye namuonea huruma anavyolia najikuta namrudia tena.

Msaada wenu jamani, nifanyaje katika hili

Sent using Jamii Forums mobile app
Wee sema anakupa papuchi vilivyo ndio maana hutaki kumuacha
 
Emu acha mara moja kumuonea "uluma" mtu kama hadeserve kubaki kwenye safari yako ya maisha kwanini uendelee kumng'ang'ania?
Ilikuwaje ukajiita "king" kama kitu kidogo hivi huwezi kukifanyia maamuzi?
Endelea kumuonea huluma

Sent using Jamii Forums mobile app
Ni ULUMA kiongozi, kasome vizuri
Sio mbaya, we endelea tu kumuonea 'huluma' maisha yaendelee.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Miaka mitatu !!!Kuna kale kawimbo ka dini kana kuhusu 😢🎤🎺🎶Uyo ni chaguo lako (chaguooo lako)
 
Wakulilia wanaume bado wapo??? Ana umri gani? Anatoka mkoa gani?? Aaah are u the only fish in the river? Mwambie aache usenge this 2020 we don't cry for sausages!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Simple bro umewekwa kwenye chupa somewhere.

Sent From Galaxy S9
 
Yaani umkaze mtoto wa watu miaka 3 then umuache......ukufe na corona wewe....
 
Haya..kuna vitu huwa watu wakivileta hapa huwa navitafakaaari then naishia kukaa kimya tu
 
Back
Top Bottom