Nashindwa kumuacha mwanamke niliyenaye

Nashindwa kumuacha mwanamke niliyenaye

Emu acha mara moja kumuonea "uluma" mtu kama hadeserve kubaki kwenye safari yako ya maisha kwanini uendelee kumng'ang'ania?
Ilikuwaje ukajiita "king" kama kitu kidogo hivi huwezi kukifanyia maamuzi?
 
Kinachokufanya uone huruma sio kilio tu, bila shaka kuna mazuri aliyokutendea ukikumbuka yanaumiza sana unajihukumu, chagua moja kuamua kumuoa haraka au kumuacha haraka, ukikawia kumuacha hatalia tena kama unavyomuona sasa ila ujiandae kwa vurugu baina yenu watatu na huyo mwanamke pembeni lazima atachemsha then wanatawanyika wote utabakia king feki
 
Ni chaguo lako ndio maana umedumu naye miaka 3,ni sawa na ng'ombe kutamani nyasi za mbali wakati za karibu hajamaliza. Nakushauri huyo umuoe hutojuta hapo baadaye utakapokuwa legelege...na hao wengine wa nje ni chapa ilale
 
Pole sana Princess ibra ...iyo king ndo matqtzo ya yote aya una roho ya kiprincess kabsa ..

Sent from my SM-A105G using Tapatalk
 
Rafiki nafikiri kama mtu anakupenda ipo siku utamuelewa japo yeye atapata wakati mgumu, ila huko unapotaka kwenda kama wewe ndio umependa hujui kama yeye amekupenda au la, jiandae.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom