Nashindwa kumuacha mwanamke niliyenaye

Nashindwa kumuacha mwanamke niliyenaye

Kushindwa kumuacha ni dalili kuwa wewe n dhaifu sana. ila tupe sababu za kumuacha zenye tija. Na mazuri yake bila kuficha
 
Kushindwa kumuacha ni dalili kuwa wewe n dhaifu sana. ila tupe sababu za kumuacha zenye tija. Na mazuri yake bila kuficha
Zababu za kumuacha ni mm naona ndamsumbua kwavile maisha yangu ayaniruusu kua nae cz ni bint mstaarabu Sasa mm sipo kamaanavyo taka yeye niwe namuonea uluma sitaweza kutimiza ndoto zake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Jamani wana JF msaada wenu maana nimeshindwa kumuacha mwanamke nimedumu naye kwa miaka mitatu hadi sasa lakini sio chaguo langu la kuoa. Sasa kila nikimuacha baadaye namuonea huruma anavyolia najikuta namrudia tena.

Msaada wenu jamani, nifanyaje katika hili

Sent using Jamii Forums mobile app
Mambo gani yanamfanya asiwe chaguo lako, ulipendezwa na nini mpaka ukawa nae kimahusiano?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom