Nashindwa kumfikisha mtu ninayempenda

Nashindwa kumfikisha mtu ninayempenda

masengobangu

Senior Member
Joined
Feb 25, 2014
Posts
125
Reaction score
131
Habari wana bodi mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31,sijaoa nina tatizo ambalo linahitaji ushauri wa kina kama miezi sita iliyopita nilitokea kumpata mdada ambaye nahitaji kufunga nae pingu za maisha .

Ajabu mara ya kwanza tu tunaanza kufahamiana kimwili gegedo langu lilishindwa kufanya kazi ile naingiza tu pump tatu ikalala nikajaribu njia zote wapi nikaenda kununua redbul wapi ikabidi nishindwe tukaondoka.

Nikaenda kuomba ushauri kwa marafiki zangu wakasema itakua ni msongo wa mawazo basi nikajaribu kujicontrol tukaenda tena wapiiiii nikapanic ila yote yanayonitokea yeye ananipa moyo tu.

Nikaenda kuomba tena ushauri nikaambiwa fanya mazoezi,kunywa maji mengi,kula tangawizi,mbegu za maboga,parachichi,asali n.k,nikafata hayo maelekezo lakini holaaaa.

Nikarudi tena kwa marafiki kuomba ushauri wakaniambia jaribu kutafuta mdada mwingine tofauti na huyo, nikafanya ivyo mambo huko yakawa fresh tu sikukata tamaa nikaendelea na mazoezi lakini mafanikio hamna nikapata ushauri mwingine wa kutumia vumbi la congo ,nikafata ushauri mambo yakawa supa nikawa napiga bao nne na zaidi.

Siku zikaenda mara ile hali ikajirudia tena hata nikitumia mkongo dyudyu linasimama nikigusa K tu inanywea nikaanza kuchanganyikiwa na nisijue la kufanya nampenda sana na yeye ananipenda naombeni ushauri waungwana.
 
Habari wana bodi
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31,sijaoa nina tatizo ambalo linahitaji ushauri wa kina.
Kama miezi sita iliyopita nilitokea kumpata mdada ambaye nahitaji kufunga nae pingu za maisha .ajabu mara ya kwanza tu tunaanza kufahamiana kimwili gegedo langu lilishindwa kufanya kazi ile naingiza tu pump tatu ikalala .Jaribu njia zote wapi nikaenda kununua redbul wapi ikabidi nishindwe tukaondoka.nikaenda kuomba ushauri kwa marafiki zangu wakasema itakua ni STRESS.Basi nikajaribu kujicontrol tukaenda tena wapiiiii nikapanic .ila yote yanayonitokea yeye ananipa moyo tu.Nikaenda kuomba tena ushauri nikaambiwa fanya mazoezi,kunywa maji mengi,kula tangawizi,mbegu za maboga,parachichi,asali n.k,nikafata hayo maelekezo lakini holaaaa.Nikarudi tena kwa marafiki kuomba ushauri wakaniambia jaribu kutafuta mdada mwingine tofauti na huyo, nikafanya ivyo mambo huko yakawa fresh tu.
Sikukata tamaa nikaendelea na mazoezi lakini mafanikio hamna nikapata ushauri mwingine wa kutumia VUMBI LA KONGO ,nikafata ushauri mambo yakawa supa nikawa napiga bao nne na zaidi ....siku zikaenda mara ile hali ikajirudia tena hata nikitumia MKONGO dyudyu linasimama nikigusa K tu inanywea.Nikaanza kuchanganyikiwa na nisijue la kufanya .UKWELI nampenda sana na yeye ananipenda.Naombeni ushauri waungwana.
Kwani kabla ya hapo hukuwa na mahusiano ya kingono na msichana au mwanamke yoyote?
 
Ukishafikia hatua hiyo ndo huwezi tena kuperfom vizuri maana ukikutana naye unaanza kuwaza sijui ntaweza au itantokea tena yale yale basi fikra ushazihamisha ukigusa k k2 inalala ilikua inantokeaga kwa demu wangu mmoja roho ilikua yaniuma basi tu
 
Hapa sasa ni mshana jr ndo atakayesema, sidhani kama joseverest ungesema tofauti kama angekuwepo hapa
samahani nikuulize kitu hali hiyo ilivyotokea ulitest kwa mbabe mwingine?ikawaje?naomba majibu
 
Mimi huwa inanitokea sana hiyo nimebuni njia ya kuwa tango kila nipandapo kitandani kitu kikisizi tu pasipo yeye kujua namchomekea tango nalipampu kwa mkono kiujanja ujanja hadi anakojoa heshima iko palepale na kizuri zaidi huwa anamponda mume wake aliyezaa naye watoto wawili kuwa alikuwa hajui mambo.
 
Habari wana bodi
Mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 31,sijaoa nina tatizo ambalo linahitaji ushauri wa kina.
Kama miezi sita iliyopita nilitokea kumpata mdada ambaye nahitaji kufunga nae pingu za maisha .ajabu mara ya kwanza tu tunaanza kufahamiana kimwili gegedo langu lilishindwa kufanya kazi ile naingiza tu pump tatu ikalala .Jaribu njia zote wapi nikaenda kununua redbul wapi ikabidi nishindwe tukaondoka.nikaenda kuomba ushauri kwa marafiki zangu wakasema itakua ni STRESS.Basi nikajaribu kujicontrol tukaenda tena wapiiiii nikapanic .ila yote yanayonitokea yeye ananipa moyo tu.Nikaenda kuomba tena ushauri nikaambiwa fanya mazoezi,kunywa maji mengi,kula tangawizi,mbegu za maboga,parachichi,asali n.k,nikafata hayo maelekezo lakini holaaaa.Nikarudi tena kwa marafiki kuomba ushauri wakaniambia jaribu kutafuta mdada mwingine tofauti na huyo, nikafanya ivyo mambo huko yakawa fresh tu.
Sikukata tamaa nikaendelea na mazoezi lakini mafanikio hamna nikapata ushauri mwingine wa kutumia VUMBI LA KONGO ,nikafata ushauri mambo yakawa supa nikawa napiga bao nne na zaidi ....siku zikaenda mara ile hali ikajirudia tena hata nikitumia MKONGO dyudyu linasimama nikigusa K tu inanywea.Nikaanza kuchanganyikiwa na nisijue la kufanya .UKWELI nampenda sana na yeye ananipenda.Naombeni ushauri waungwana.
Ilipotokea hiyo ulitest kwa demu mwingine majibu yakawaje?naomba majibu afu tuendelee
 
Back
Top Bottom