Nashindwa kulivua hili gamba!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nashindwa kulivua hili gamba!!

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by Tolowski, May 14, 2011.

 1. T

  Tolowski Senior Member

  #1
  May 14, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Wakubwa nina hilo gamba nalifananisha na EL! Nina miaka kama 6 na huyu demu but katika miaka hiyo kashindwa kabisa kubadilika both kitabia and kimuonekano! Demu ananipenda sana tatizo ni tabia yake and muonekano wake! Ila uzuri wake ana mavumba sana so mtu mzima shida ndogo ndogo hazinisumbui! Ni mwaka wa 2 sasa nipo kwenye strategy ya kulivua hili gamba but nachemsha! Now i can see kwa nini ccm wanashake kuwachomoa mapacha3, ushawishi wa mapene ni noma wakubwa!! Nifanyeje???
   
 2. Y

  Yakuonea JF-Expert Member

  #2
  May 14, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 601
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  tabia na muonekano upi ? fafanua ili tukusaidie na hilo gamba lako
   
 3. Nyani Ngabu

  Nyani Ngabu Platinum Member

  #3
  May 14, 2011
  Joined: May 15, 2006
  Messages: 73,650
  Likes Received: 35,409
  Trophy Points: 280
  Anza kucheat kama huna akili nzuri na yeye mwenyewe atasalimu amri
   
 4. Lizzy

  Lizzy JF-Expert Member

  #4
  May 15, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 22,224
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Tafuta pesa zako ili ukose sababu ya kua nae....mwanaume halelewi!!
   
 5. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #5
  May 15, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Tolowski
  Yesterday 12:29 PM
  [​IMG] Member [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG] [​IMG]
  Join Date : 28th April 2011
  Posts : 49
  Thanks0Thanked 4 Times in 3 Posts
  Rep Power : 0
  [​IMG] Eti wanaohudhururia mikutano ya chadema nao ni umma!!
  Kwenye kundi la watu wanaohudhuria mikutano mikutano ya chadema siwezi nikaita ni umma! Sababu ni kwamba hakuna uwiano sawa wa makundi ya jamii kama wanawake,wazee,vijana,walemavu etc! Ninaowaona kwenye mikutano ya chadema wengi ni vijana,tena ni wale vijana jobles and mapepe flan yaani wazee wa kulanduka! I can say chadema sio chama cha nguvu ya umma bali ni nguvu ya wavuta bange,si mnaona chadema inavyopendwa arusha,KITU CHA ARUSHA BALAA WOTE TWAKISIKIA! BORA MKUTANO WANGU UHUDHURIWE NA WENYE BUSARA 10 TU KULIKO WAVUTA BANGE 1000!
  .........................................................................................
  Wewe bwanamdogo huna akili!
  Ndiyo maana unashikwa mapembe na mwanamke!
  Kama unapewa hela na huyo mwanamke peleka tuisheni ukajisomeshe japo elimu ya watu wazima (EWW)!
   
 6. pauline

  pauline JF-Expert Member

  #6
  May 15, 2011
  Joined: Dec 26, 2010
  Messages: 651
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  usiwe tegemezi weka mipango endelevu,mwambie akufungulie biashara usimamie,ukiweza kusimama muache taratibu ila duh imeniuma kumbe wakaka huwa saa nyengine na nyie mnachuna mabuzi?(wa kike nao wanaitwa mabuzi au?lol)
   
 7. T

  Tolowski Senior Member

  #7
  May 15, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ana wivu wa ajabu,yaani hataki niongee hata na dada yake, also ni mkorofi sana kila cku anagombana na ndugu zake kwa sababu ambazo hazieleweki,yeye ni chanzo mara nyingi! Kuhusu muonekano ni kwamba hanenepi yaani ni kama katoto flani kakondeana mbwayaa!kama humjui waweza sema ana ngoma!!
   
 8. T

  Tolowski Senior Member

  #8
  May 15, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nishafight sana,na sasa ndo nipo chuo last year nategemea kumaliza july and hopeful nitakamata job! Kama umepitia chuo i hope u knw chuo life linavyokaba
   
 9. T

  Tolowski Senior Member

  #9
  May 15, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Mkuu mbona unahamishia hasira za jukwaa la siasa huku? Nimekuja huku kupata love kidogo! Naomba 2kutane kule kwa hayo mambo yetu ya padiri muasi
   
 10. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #10
  May 15, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Kama uko chuo na bado unashabikia wakoloni wa kiafrica wanaoangamiza nchi hii bado hujakombolewa na shule hiyo!
  Kama unashindwa kutambua juhudi za Watanzania wachache wanopigana kuwaelewesha wananchi na kuwafungua macho ili wapige kelele wanapoibiwa, basi wewe una tatizo lisiloponyeka!

  Usitafute kuonewa huruma wakati mwenyewe unashindwa kujitetea...Futa kauli zako za hapo juu nilipokuquote, ndipo utakuwa umejivua gamba!
  Vinginevyo unaonekana kichaa hapa ndani!...nimemaliza!
   
 11. Mkwaruzo

  Mkwaruzo JF-Expert Member

  #11
  May 15, 2011
  Joined: Feb 21, 2011
  Messages: 566
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 35
  bored wid neno demu katika sehemu kama hii.
   
 12. sinafungu

  sinafungu JF-Expert Member

  #12
  May 15, 2011
  Joined: Feb 13, 2010
  Messages: 1,406
  Likes Received: 569
  Trophy Points: 280
   
 13. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #13
  May 15, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  kula tigo!
   
 14. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #14
  May 15, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,177
  Likes Received: 1,178
  Trophy Points: 280
  naona tuwaite kondoo, mabuzi ni wana wake
   
 15. N

  Ninaweza JF-Expert Member

  #15
  May 15, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 7,177
  Likes Received: 1,178
  Trophy Points: 280
  Mkuu umeonaeeee ana magamba mengi sana huyu, tabia ya kifisadi ni kula jasho la wengine, hebu angalia sasa anaposhindwa kufanya uamuzi anaouona kuwa sahihi eti kisa pesa! Na usim2mie bint wa wa2 kama ngazi afu ukamwage!
   
 16. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #16
  May 15, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Pole sana mr,wewe ni mtumwa kwenye huo uhusiano,pesa ndo catalyst,kwan maisha ya chuo ndio nini?kuish na bnt usompenda coz of s'thing ni u2mwa,nadhan mwisho wake utaishia kudhalilishwa,it shows that una mtegemea hasa!
   
 17. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #17
  May 15, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,922
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
 18. ENZO

  ENZO JF-Expert Member

  #18
  May 15, 2011
  Joined: Sep 30, 2010
  Messages: 4,057
  Likes Received: 552
  Trophy Points: 280
  atabaki kula hela z wanaume wenzie huyo mwishowe na wao watakula ki2 chake. mwanafunzi w higher learning hawezi andika upuuzi km huo. eti mwanafunz w chuo! chuo ch madrasa au?
   
 19. Abdulhalim

  Abdulhalim JF-Expert Member

  #19
  May 15, 2011
  Joined: Jul 20, 2007
  Messages: 16,472
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 160
  Weka details zake tukusaidie. Sie wengine tunatafuta hiyo opportunity ya kutunzwa ati.
   
 20. kipindupindu

  kipindupindu JF-Expert Member

  #20
  May 15, 2011
  Joined: Dec 16, 2010
  Messages: 1,051
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  si kweli!swali la huyu jamaa ni la kinafiki.
   
Loading...