Nashindwa kujizui... Najihisi natia aibu

Kwa magoli na mpira ule... nadhani jamaa atakuwa ametatua tatizo lake, labda sasa Domo liwe Zege!!
au anaweza kujikuta anamtaja Ncklas, Nasri, Eboue. Lakini afadhali kutaja haya majina kuliko mwamvuli kukunjuka daily ni aibu manake anaweza kumkimbiza huyu binti akijua jamaa ana ukame wa toka First World War
 
Kuna mwanamke nampemda sana.
Kila nionanapo nae
uume umekuwa ukinisimama ile mbaya hadi nashindwa kuficha aibu zangu.
Matokeo yake ni kwamba nashindwa kuongea naye.. Nabaki nimeinama ili kuficha aibu yangu.
Je nifanyeje ili niishinde hali hii?????
ngoja nimtafute masanilo aje akujibu,anapenda sana maswali kama haya:D
 
Huyo ndie anaekufaa kwani anaamsha hisia zako na hilo ni jambo zuri pande zote. Jaribu bahati yako na wasikuvunje moyo eti tamaa
 
Kuna mwanamke nampemda sana.
Kila nionanapo nae
uume umekuwa ukinisimama ile mbaya hadi nashindwa kuficha aibu zangu.
Matokeo yake ni kwamba nashindwa kuongea naye.. Nabaki nimeinama ili kuficha aibu yangu.
Je nifanyeje ili niishinde hali hii?????

Erection ni kitu cha kawaida kwa mtoto wa kiumeni. Kudhibiti hali ya kustukiwa na mtu mwingine, kwanza vaa kufuli au box linalotait kidogo, pili vaa suruali yenye mifuko, na 'mzee' akiamka mtulize kwa kuingiza mkono mfukoni na kumleta upande wa kulia (rule of thumb).. This should work unless mazee uniambie unafuga python ktkt ya miguu yako. :D
 
Na kweli watia watia aibu. Huwezi sema wampenda huyo, huko ni kumtamani!
Sasa fanya hivi: take time to build yourself control and your erception of a woman-koz hizo ndo naona ni shida zako!
From there utaweza kumpenda mtu-si kwa uzuri wake wa nje ila kwa jinsi alivyo ndani na nje-in all purity!
(Try to emulate our Father's love-God; if you have it you will know what it is to love a woman and not destroying the beautiful name-LOVE!)
Long live love...
 
uume umekuwa ukinisimama ile mbaya hadi nashindwa kuficha aibu zangu.
Je nifanyeje ili niishinde hali hii?????

Nakushauri ushonee mfuko ndani kwa ndani ili ukimwona mshale usitokeze ukishindwa uwe unatanguliza kaptura ya Jeans mshale hutaonekana unaendelea kuugulia maumivu taratibu.
 
Nakushauri ushonee mfuko ndani kwa ndani ili ukimwona mshale usitokeze ukishindwa uwe unatanguliza kaptura ya Jeans mshale hutaonekana unaendelea kuugulia maumivu taratibu.

Fidel80 hujatulia wewe

"Muosha huoshwa"gud
 
Kuna mwanamke nampemda sana.
Kila nionanapo nae
uume umekuwa ukinisimama ile mbaya hadi nashindwa kuficha aibu zangu.
Matokeo yake ni kwamba nashindwa kuongea naye.. Nabaki nimeinama ili kuficha aibu yangu.
Je nifanyeje ili niishinde hali hii?????

tatizo lako hilo ni tatizo la kawaida kabisa na wala huna sababu ya kuona aibu au kujisikia vibaya. Je jogoo likiona jua linatoka liache kuwika au kusikia vibaya kwanini linataka kuwika? Je ndege akiona ngano asitake kutua kudonoa?

Mapenzi ya kweli yanahusu matamanio vile vile. Atakudanganya mtu anayetaka umpende halafu usimtamani. Sasa tatizo lako naamini lipo katika kutawala hayo mataminio yako kwani unaweza ukajikuta hata ikatokea mkawa wapenzi ukawa una perform under anxiety na ukakumbwa na "Sexual Perfomance Anxiety Disorder" na ukajikuta unapata kumwaga mapema wakati wa tendo.

So, fuata ushauri ufuatao:

a. Kwa sababu inaonekana hata hujamtamkia ni vizuri utamke pendo lako au hisia zako kwako, hii itakuondolea pressure uliyojijengea ndani na inayoendelea kujazwa na fantasy kila umuonapo. Ukishamuambia itakupunguzia pressure ya fantasy.

b. Hali ya kusimamisha kwa mwanamme ni hali ya kawaida sana na wakati mwingine haitegemei hata "the object of affection". Wanaume tunasimamisha hata misibani.. don't aske me why! Tatizo lako ninavyoona ni kuwa unavaa vile vile nguo zinazoonesha maumbile yako hayo kiurahisi na hivyo unaweza ukajikuta unapata kutiwa pingu kwa indecent exposure (sijui uko kijiji gani). So, hakikisha huvai nguo ambazo zinadokeza kiurahisi kile kilicho chini ya suruali kiko hali gani. Hivyo, kuvaa shati refu, suruali inayopwaya lakini underway inayohifadhi nyeti zako vizuri ni jambo muhimu.

c. Jambo la tatu ni kuwa don't go and meet her!!! usije ukapata mfadhaiko tukakusoma kwenye magazeti!!!
 
Back
Top Bottom