Nashindwa kujielewa hii ni hali gani?

Nina miaka 23, nasoma degree!
Hapana, sionei huruma kupiga jani au mti, naweza kushiriki kuchinja japo kwa kujilazimisha na kujikaza sana(napo naweza kuchinja jamii ya ndege wa kufugwa tu, mfano kuku, bata, n.k, si wanyama wenye miguu minne, hao huwahurumia sana). Mimi ni mzaliwa wa Masasi, home hakuna manyanyaso ni amani tu.
 
Mara nyingi ninapendelea kuwa peke yangu, ninakumbula mno mambo na maeneo niliyowahi kutembelea zamani, marafiki wa zamani, maisha ya utoto na michezo yote. Naumia na hulia sana nikikumbuka, havikuwa vitu vibaya ila najikuta nalia tu!

Muda mwingine ninapokula chakula nafikiria wengi wanaolala njaa ikiwemo watoto wadogo, hulia sana na chakula hakipiti, najikuta naacha kula na kulala.

Sina chochote kinachoweza kunipa faraja na raha, nipo mpweke na sijui chanzo chake, napenda kuwahudumia wanyama, na kuwatunza. Nina huruma na wanyama mno.

Kuna muda ninapokuwa peke yangu najikuta nakumbuka matukio ya zamani sana na huishia kulia tu, hata sijui ni nini hiki kinanipata. Sipendi kuongea ongea, wala kuchangamana na watu, n.k.

Jamani nishaurini ninapitia kipindi kigumu!

NB: Nina miaka 24, nasoma.
You are an Empathy! A gift with a barden sometimes.
 
Mbona mimi niko hivyo na hii hali naipenda sana, nafikiria kupata muda mwingi zaidi kukaa peke yangu maana kuna mambo nimegundua nikiwa na watu wengine siwezi kuyajua.

Sent from my SM-A013G using JamiiForums mobile app
 
Hapana, sionei huruma kupiga jani au mti, naweza kushiriki kuchinja japo kwa kujilazimisha na kujikaza sana(napo naweza kuchinja jamii ya ndege wa kufugwa tu, mfano kuku, bata, n.k, si wanyama wenye miguu minne, hao huwahurumia sana). Mimi ni mzaliwa wa Masasi, home hakuna manyanyaso ni amani tu.
Samahani kidogo hiyo hali ni tokea zamani ama imeibuka tu hapa juzi kati?
 
Anzia hapo kwenye kupendelea kukaa peke yako muda mwingi. Wengine watakwambia sio tatizo lakini kwako wewe ni tatizo kwa sababu unakosa amani na furaha. Hayo mambo uliyotaja (pamoja na marafiki) ni mambo yaliyokuwa yanakupa furaha ndio maana ukiyakumbuka unapata huzuni.

Tafuta girlfriend au rafiki(marafiki wachache wa ukweli). Usijitenge na wenzako, chuo huko kuna magroup ya discussion, kuna wadau wa movies/series, kuna wacheza video games.

Kwa kifupi jifunze kujichanganya, hata ukianza kidogo kidogo, halafu penda kusalimia watu, ndio mwanzo mzuri wa urafiki.

Mara nyingi ninapendelea kuwa peke yangu, ninakumbula mno mambo na maeneo niliyowahi kutembelea zamani, marafiki wa zamani, maisha ya utoto na michezo yote.
 
Tangu zamani inaninyanyasa sana

Relax dogo
Upo kwenye transformation age ambapo sasa unahitaji kujitathmini sana na kujua wewe uwe Mtu wa aina gani...

Pia unaweza kuwa unaona umechelewa kufanikisha mambo yakoo ya maisha na huenda upo kwenye dilemma kama shule itakufikisha unapopataka..

Unahitaji kuwa imara na kujifikiria wewe zaidi kwa wakati huu nini unapenda kufanya.

Mchakato wa maisha ni wa taratibu .
Don’t lose yourself because nobody will care anyway...
Be positive and love yourself more young man.
 
Anzia hapo kwenye kupendelea kukaa peke yako muda mwingi. Wengine watakwambia sio tatizo lakini kwako wewe ni tatizo kwa sababu unakosa amani na furaha. Hayo mambo uliyotaja (pamoja na marafiki) ni mambo yaliyokuwa yanakupa furaha ndio maana ukiyakumbuka unapata huzuni.

Tafuta girlfriend au rafiki(marafiki wachache wa ukweli). Usijitenge na wenzako, chuo huko kuna magroup ya discussion, kuna wadau wa movies/series, kuna wacheza video games.

Kwa kifupi jifunze kujichanganya, hata ukianza kidogo kidogo, halafu penda kusalimia watu, ndio mwanzo mzuri wa urafiki.
Ahsante, ila sihitaji rafiki, nasalimia watu vizuri tu na sina tatizo katika hilo. Kupata huzuni kwa mambo yaliyopita hakusababishwi na mimi kujitenga, hata nisipojitenga hali hii hunikuta.
 
Relax dogo
Upo kwenye transformation age ambapo sasa unahitaji kujitathmini sana na kujua wewe uwe Mtu wa aina gani...
Pia unaweza kuwa unaona umechelewa kufanikisha mambo yakoo ya maisha na huenda upo kwenye dilemma kama shule itakufikisha unapopataka..

Unahitaji kuwa imara na kujifikiria wewe zaidi kwa wakati huu nini unapenda kufanya.
Mchakato wa maisha ni wa taratibu .
Don’t lose yourself because nobody will care anyway...
Be positive and love yourself more young man.
Ahsante sana, kama ulivyoniita young man, na mimi nakuita Sir.
 
Hapana, sionei huruma kupiga jani au mti, naweza kushiriki kuchinja japo kwa kujilazimisha na kujikaza sana(napo naweza kuchinja jamii ya ndege wa kufugwa tu, mfano kuku, bata, n.k, si wanyama wenye miguu minne, hao huwahurumia sana). Mimi ni mzaliwa wa Masasi, home hakuna manyanyaso ni amani tu.
Mkuu hiyo hari ni ya kawaida ondoa shaka kabisa,
Kwa kariba yako inawezekana kisaikolojia haujaitambua hobby au fani unoyoipendelea kwa sana ambayo unatakiwa uwe unajishughulisha nayo ukiachilia mbali taaluma (elimu), hiyo hali ikiambatana na kutoyazoea mazingira ndio feelings zinaongezeka (ni kama stress fulani ina-develop katika ubongo, center husika) ambayo inatakiwa kuipunguza (kui-release hiyo stress) ndio ulitakiwa uwe na hobby, eg(aina fulani ya music, games,movies, soccer nk) + familiar na mazingira yanayokuzunguka.

Kwahiyo mkuu ni swala la muda tu, ondoa shaka. Muda utafika utapata tu kitu cha kuli-refresh na kuzoena na wadau mbali mbali

NB.Hizo hisia sio mbaya(tatizo) na kuna watu wa aina hii wengi tu watakuja kushuhudia hapa wakipata nafasi.

We unahisi nini apo unaonaje 👆🏽?
 
Mara nyingi ninapendelea kuwa peke yangu, ninakumbula mno mambo na maeneo niliyowahi kutembelea zamani, marafiki wa zamani, maisha ya utoto na michezo yote. Naumia na hulia sana nikikumbuka, havikuwa vitu vibaya ila najikuta nalia tu!

Muda mwingine ninapokula chakula nafikiria wengi wanaolala njaa ikiwemo watoto wadogo, hulia sana na chakula hakipiti, najikuta naacha kula na kulala.

Sina chochote kinachoweza kunipa faraja na raha, nipo mpweke na sijui chanzo chake, napenda kuwahudumia wanyama, na kuwatunza. Nina huruma na wanyama mno.

Kuna muda ninapokuwa peke yangu najikuta nakumbuka matukio ya zamani sana na huishia kulia tu, hata sijui ni nini hiki kinanipata. Sipendi kuongea ongea, wala kuchangamana na watu, n.k.

Jamani nishaurini ninapitia kipindi kigumu!

NB: Nina miaka 24, nasoma.
Unagenye,tafutaà musichana muzuri umufiche akupe upendo unauhitaji wa hiyo kitu wa k ndio maana unafeelings hizoo
 
Pia kwenye kutafuta hobby au ujuzi wa ziada usije ukaangukia kwenye mambo mabaya ambayo yatakutesa wewe mwenyewe maisha!

Mfano; vilevi hasa madawa

Pia usifuate mkumbo eti kwakua watu wenge au fulani anependa hiki basi na mimi hapana., hapa inatakiwa uangalie moyo wako unasemaje. Kuna vile vitu ambayo ukivi-sense kwa kupitia moja ya milango yako yafahamu unaona kinakuvutia, kinakushawishi una toa attention sio ya kawaida anza na hivyo.

Hapa kuna vitabu muhimu sana hii utaongeza maarifa. Kifikra unabadilika kabisa.

Kuna movies baadhi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom