Enock gabriel
JF-Expert Member
- Apr 26, 2021
- 348
- 312
- Thread starter
- #61
DuTatzo ni kukosa ajira pesa na kazi maana ukiwa zako bize na kazi huo mda wa kulia lia utautoa wapi ndugu yangu
DuTatzo ni kukosa ajira pesa na kazi maana ukiwa zako bize na kazi huo mda wa kulia lia utautoa wapi ndugu yangu
Ahsanteunatatizo la kutaka huruma kwa watu, nilikua na mdogo wangu alitusumbua sana, yaan yeye alikua analia shuleni anawaomba msaada wamsaidie, kanisani wanachanga wanampa dogo!
.
.
nilivyokuja kusikia niliumia na kuudhika sana!
.
.
dogo tatizo la watu kulala njaa sio lako, Mungu anajua kwanini ipo hivyo, ukiweza wasaidie usipoweza kausha na si lazima uwape msaada hio ipo tuu, jichanganye na watu, anza kushabikia mpira na usitoke nje, toka nenda maeneo ya beach, tafuta marafiki wa kutembeleana na kutoka kutembea, tafuta mpenz ila hapa kwa mpenz chunguza mdada naekupenda maana inavyoonesha utakua down sana mdada akikukataa, kazana kwenye masomo yako kwa juhudi bila kuwaza kumbukumbu za zamani, na zaidi hii dunia hatifahamu ilianzaje na kwanini ipo hivi, kuwa positive daima!!!!
.
.
maisha haya hayapendi watu wenye kulia lia, wenye kutafuta huruma, inawahitaji watu wenye jeuri ya kuyaongoza maisha wanavyotaka!
Niambie sasa matatizo gani!Unamatatizo