Nashindwa kuifichua siri hii

Nashindwa kuifichua siri hii

Samahani ila nina wasiwasi na wewe mwenyewe kavulata!
 
Last edited by a moderator:
Nilimwona akitoka guest bila ya kumuona aliyekuwa naye nikashangaa na kumtishia kwenda kumtonya jamaa akanisihi nisijaribu maana balaa kwa rafiki zangu lingekuwa kubwa kupindukia, ndo akanipa mzigo mzima hadi kwenye maandisha, nikashika mdomo

Kwahiyo wewe unauhakika hujaonja?
 
huu ndo mwanzo wa kusema
Nimeamini kuwa hawala namba moja wa mpenzi wako ni rafiki yako mpenzi namba moja, maana hawa jamaa ni marafiki zaidi kuliko hata mimi kwao haipiti siku hawajaonana na kusaidiana bilamasharti yoyote.
 
nimeamini humu kuna watoto wa shule ya msingi. jkt ilikuwepo toka baada ya uhuru ikasitishwa mwishoni mwa miaka ya 90.
Yaani wamejaa kwani kidogo??!. Mwingine nae join period ni July 2015, naye kakomaa pia kuwa hakuna kitu kama hicho:eyeroll1:
 
Kinachoniuma ni shemeji kuzidisha dharau kwa mume wake na majibu yasio na heshima kwake. Mke anaaga kuwa anaenda kulala kwenye msiba wa mtu wa kabila lao ambaye kafa kweli lakini ikifika saa 8 usiku anakwenda kufanya uzinzi ya yule rafiki yetu huku mumewe akiamini kuwa amelala msibani.

Daah ndoa hizi!
 
ningekuwa mimi ningevunja urafiki na huyo anayeibiwa mke ili niwe na amani,siwezi nikajiita rafiki yako halafu mkeo analiwa halafu nisifanye chochote kukusaidia,siwezi kuona rafiki yangu anafanyiwa kitu mbaya nisifanye jambo kumsaidia,thats me,hivyo nikiona kufanya chochote kumsaidia kutaleta mtafaruku nitavunja urafiki,niishi kwa amani.fikiria wewe mkeo awe analiwa halafu rafiki yako anajua mkeo analiwa,halafu ujue alikuwa anajua mkeo analiwa kwa miaka 5,utamuonaje huyo rafiki yako???

I second you...
 
Huyo mwanamke kakwambia ili nawe usiwe fa.LA maana kaona mumewe anachapa mkeo ili nawe uchape Wa huyo anayechapa Wa rafiki yako. Mduara huo.
 
Lakini kuchapiwa ni siri ya ndani wewe inakuhusu nini lakini?? piga kimya Ukimwi utawaumbuaaaa na mweleze huyo mke alokupa umbea kwamba aache mara moja tabia anayofanya kama hawezi aende zake kwa wazazi wake asije kumletea rafikio ugonjwa.

Inauma lakiniiii naandika tu kwa uchungu.
 
kavulata

Hahahaa mbavu zangu mie asa huo urafiki gani.Kama unaogopa kumwambia mtumie SMS kwani hapo utakuwa hujamwambia ww.
 
Last edited by a moderator:
Haha hahaa Pole sana Boss, plse mtafute Mh wa Maamuzi Magumu aliepigwa kumbo na Gulio juz kati kuleee Dom, akupe mbinu ya kufanya maamuzi magumu.
Hapana kujitesa kw hofu ya nn kitatokea..!!!
 
Muda unvyoendelea, ndivyo kosa lako linavyokuwa kubwa. Yaani kila shemeji yako anapotoka na rafiki yako mwenye kucheat, nawe unashirikishwa kiasi fulani jambo hilo. Haisaidii wewe kukaa kimya tu. Dunia huharibiwa si na wale watendao maovu tu, bali pia wanaoona maovu na hawafanyi lolote.
Jitwike ujasiri. Kwanza waepe kabisa wapenzi wawili wanaoharibu mambo. Hao si marafiki wazuri. Huyo mwanaume anaweza kukulia hata wewe kama hujui. Tafuta namba ya simu ya siri au unda moja ya kwenye mtandao. Kisha mpelekee ujumbe rafiki yako ananymously kwamba kuna randezvous mahali fulani. Yeye akashuhudie yeye mwenyewe. Itakuwa vibaya kama jamaa atajua kwamba ulijua muda mrefu na hukufanya lolote. Kwa upande mwingine mambo yakija julikana kwamba ni wewe ulitoa siri, own it. Kubali. Kama ni urafiki wa kweli utabaki. Lakini urafiki wa kinafiki haufai.
 
'Big' shemeji alikuambia katika context gani? Kirahisi rahisi tu? Ama ndo mnataka kumfanya ligi ya mchangani kwamba kila timu ya daraja la kwanza lazima impitie? Alafu bro wewe mbayaaaaaa.....nasubiri thread nyingine ''nimetembea na shemeji yangu'' Anzia hapo hapo....tulikuwa wote sekondari....tokea primary...
 
Da! Ni bora ukae kimya tu sasa maana unajichanganya bila mantiki yoyote. Ni kweli alitaja "jeshi". Wewe mwenyewe ndiye uliyehoji kwa kudai jkt ilianza juzi juzi tu. Hilo ndilo walilokusahihisha watu. Majeshi yote tu yamekuwa hapa toka miaka ya 60. Hata jkt ilikuwako hadi 1993. Si juzi juzi. Kama hukujua, ni busara zaidi kukiri tu badala ya kuanza kuporomosha matusi na kuita watu vichwa maji.
Sikia nyie vichwa maji, neno jeshi lina maana zaidi ya jkt, soma mada yake alivyoelezea uone kama alitaja jkt, ndio maana nilim-quote kwa kumuuliza mswali kwamba alimaanisha jeshi lipi? au mnataka mjibiwe kirefu ili mjue kuna baba zenu humu?
 
Kama mlengwa ndio aliekwambia kuna % nyingi mkeo anagongwa na mme wa mlengwa,Chunguza kaka utabaini mlengwa alicholeta kwako,kwa jicho la tatu naona "siri sirini"
 
aiseee...leo nimepita huku...

zaman sana miaka mingi imepita iliwahi kutoke jambo hili kwa jamaa yeetu mmoja ..mkewe alikuwa anatembea na kijana flan hivi...baada ya mwenye mke kujiridhisha kabisa pasipo na shaka... alichukua hatua kali sana dhidi ya yule kijana..alichofanya alichukua mfuko wa nylon ile mikubwa na mizito na kumuweka yule kijana mule kisha ikaongezwa mifuko miwili ya cement.......

mwinge yeye alitumia madaraka yake vibaya akawa anatembea na mke wa mtu mwingine....nae akabainika kwa kkufanya kosa hilo...huyu yeye alisubiriwa wakati gari lake liko garage linafanyiwa service basi kwa njia nyepesi likawekewa madawa ya kulevya mle..yuko gerezan mpaka leo anatumikia kifungo cha miaka 15...

msipende sana kutembea na wake za watu
 
Back
Top Bottom