Nashindwa kuifichua siri hii

Nashindwa kuifichua siri hii

Da! Ni bora ukae kimya tu sasa maana unajichanganya bila mantiki yoyote. Ni kweli alitaja "jeshi". Wewe mwenyewe ndiye uliyehoji kwa kudai jkt ilianza juzi juzi tu. Hilo ndilo walilokusahihisha watu. Majeshi yote tu yamekuwa hapa toka miaka ya 60. Hata jkt ilikuwako hadi 1993. Si juzi juzi. Kama hukujua, ni busara zaidi kukiri tu badala ya kuanza kuporomosha matusi na kuita watu vichwa maji.

by kavulata
Tuko marafiki watatu wa kiume wa karibu sana tangu shule ya sekondari, Jeshini hadi Chuo Kikuu, tumeoa na tuna watoto, lakini bahati mbaya rafiki yetu mmoja anatembea na mke wa rafiki yetu mmojawapo kwa zaidi ya miaka 5 sasa.

Mimi ninafahamu uovu huo lakini nashindwa kumtonya rafiki yetu mwenye mke kwa kuhofia kitakachotokea. Anayetembea na mke wa mwenzake hajui kama mimi ninajua.

Shemeji anajua kama mimi ninajua kwamba anatembea na rafiki yetu kwa kuniambia yeye mwenyewe, mwenye mke hajui kabisa kama hili linafanyika. [/SIZE]Sijui kama na mke wangu pia kasalimika kwa aina hii.

Nipeni mawazo nifanye nini kwenye hiili.

Wewe kilaza wapi amesema jkt hapo? au ndio ninyi mnaokaririshwa kuwa jeshi ndio jkt? hujui kuwa kwenda mgambo nako ni kwenda jeshini? unajua jeshi la mgambo lilianza lini?
 
Last edited by a moderator:
Jeshini wapi, jkt iliyoanza juzi tu halafu chuo kikuu na sasa mmeoa na huku jamaa akiwa anachepuka na mke wa mwenzake kwa miaka mitano sasa! ina maana mlioa kabla hamjafika o level? au uliposema jeshini ulimaanisha nini?

acha kumeza... nani kakwambia jkt imeanza juzi????
 
Konda wa bodaboda,
let me try one more time to see if you can see some sense before I fall back on the aphorism that goes like: don't argue with a fool, people might not notice the difference. Pengine umesahau ulichoandika. Let me remind you.
Hiki ndicho alichosema Kavulata: "tangu shule ya sekondari, Jeshini hadi Chuo Kikuu, tumeoa na tuna watoto"
Wewe Konda wa Bodaboda ukatilia shaka maelezo hayo kwa kusema, nanukuu: "Jeshini wapi, jkt iliyoanza juzi tu halafu chuo kikuu na sasa mmeoa" Haya ni maneno yako wewe, si ya Kavulata.
Watu wakasema, si sahihi kusema JKT ilianza juzijuzi kama ulivyodai. Nami nikaunga mkono, jkt haikuanza juzijuzi. Nikakuasa tu si vizuri kumwaga matusi yasiyo na sababu yoyote. Lakini naona unaanza kumwaga matusi na kuwaita wengine vilaza ilhali unachoking'ang'ania hakina mantinki. unaniuliza "wapi amesema jkt hapo?" Kwa hakika swali hilo ningekuuliza wewe maana wewe ndiye uliyeleta hilo.
Let me get this one more time in summary. Kavulata alisema jeshini mpaka chuoni mpaka kupata watoto. Wewe ukasema jkt iliyoanza juzijuzi tu? Watu wakasema si kweli kwamba jkt ilianza juzijuzi. Kumbuka ni wewe uliyeleta kwanza habari ya jkt. Halafu unaniuliza mimi tena kitu ulichokitaja wewe mwenyewe!!! Walichotaka kukuonesha watu ni kwamba hiyo timeline haina tatizo katika masimulizi hayo. Nina shaka hata unaelewa unachoandika au unachokisoma.
Labda nikutahadharishe, kumwaga matusi si ndiyo kutoa point. Ni dalili ambayo si nzuri kwa kweli.

Wewe kilaza wapi amesema jkt hapo? au ndio ninyi mnaokaririshwa kuwa jeshi ndio jkt? hujui kuwa kwenda mgambo nako ni kwenda jeshini? unajua jeshi la mgambo lilianza lini?[/QUOTE]
 
Tuko marafiki watatu wa kiume wa karibu sana tangu shule ya sekondari, Jeshini hadi Chuo Kikuu, tumeoa na tuna watoto, lakini bahati mbaya rafiki yetu mmoja anatembea na mke wa rafiki yetu mmojawapo kwa zaidi ya miaka 5 sasa.

Mimi ninafahamu uovu huo lakini nashindwa kumtonya rafiki yetu mwenye mke kwa kuhofia kitakachotokea. Anayetembea na mke wa mwenzake hajui kama mimi ninajua.

Shemeji anajua kama mimi ninajua kwamba anatembea na rafiki yetu kwa kuniambia yeye mwenyewe, mwenye mke hajui kabisa kama hili linafanyika.
Sijui kama na mke wangu pia kasalimika kwa aina hii.

Nipeni mawazo nifanye nini kwenye hili

Hako kajamaa kamewazid akili nyote na bila shaka katakuwa kanawafunga mabao ya visigino kila siku.
Toboa siri kwa rafiki yako na hii ndo itakuja kufumbulia kumbe hata kwa shem yetu mkeo kameshapita.
 
Konda wa bodaboda,
let me try one more time to see if you can see some sense before I fall back on the aphorism that goes like: don't argue with a fool, people might not notice the difference. Pengine umesahau ulichoandika. Let me remind you.
Hiki ndicho alichosema Kavulata: "tangu shule ya sekondari, Jeshini hadi Chuo Kikuu, tumeoa na tuna watoto"
Wewe Konda wa Bodaboda ukatilia shaka maelezo hayo kwa kusema, nanukuu: "Jeshini wapi, jkt iliyoanza juzi tu halafu chuo kikuu na sasa mmeoa" Haya ni maneno yako wewe, si ya Kavulata.
Watu wakasema, si sahihi kusema JKT ilianza juzijuzi kama ulivyodai. Nami nikaunga mkono, jkt haikuanza juzijuzi. Nikakuasa tu si vizuri kumwaga matusi yasiyo na sababu yoyote. Lakini naona unaanza kumwaga matusi na kuwaita wengine vilaza ilhali unachoking'ang'ania hakina mantinki. unaniuliza "wapi amesema jkt hapo?" Kwa hakika swali hilo ningekuuliza wewe maana wewe ndiye uliyeleta hilo.
Let me get this one more time in summary. Kavulata alisema jeshini mpaka chuoni mpaka kupata watoto. Wewe ukasema jkt iliyoanza juzijuzi tu? Watu wakasema si kweli kwamba jkt ilianza juzijuzi. Kumbuka ni wewe uliyeleta kwanza habari ya jkt. Halafu unaniuliza mimi tena kitu ulichokitaja wewe mwenyewe!!! Walichotaka kukuonesha watu ni kwamba hiyo timeline haina tatizo katika masimulizi hayo. Nina shaka hata unaelewa unachoandika au unachokisoma.
Labda nikutahadharishe, kumwaga matusi si ndiyo kutoa point. Ni dalili ambayo si nzuri kwa kweli.

Wewe kilaza wapi amesema jkt hapo? au ndio ninyi mnaokaririshwa kuwa jeshi ndio jkt? hujui kuwa kwenda mgambo nako ni kwenda jeshini? unajua jeshi la mgambo lilianza lini?
[/QUOTE]

Soma tena hilo ni swali, jeshini wapi halafu mkato.......... Swali hilo lina maana nilitaka aseme jeshini wapi? magereza, mgambo,polisi, zimamoto au ni jkt ambayo nikatolea kama mfano tu kwa vijana wanaoenda sasa baada ya kumaliza kidato cha sita, sasa hapo hujaelewa ninj?
 
Umesaidia kuiweka sawa mkuu, huyo konda wa bodaboda kaonyesha kwamba ana uwezo mdogo wa kuelewa, nadhani anajaribu kujadiliana na vichwa vikubwa kuliko yeye, mnapojaribu kumpa logic inakua iko juu ya uelewa wake hamtaelewana.

Ni sawa na form six leaver akajadiliane hoja za logarithimic functions na mtoto wa chekechea, hawataelewana na mtoto wa chekechea atakua sahihi, tatizo litakua kwa yule form six leaver. Naona tatizo liko kwako mkuu kama form six leaver.
 
Soma tena hilo ni swali, jeshini wapi halafu mkato.......... Swali hilo lina maana nilitaka aseme jeshini wapi? magereza, mgambo,polisi, zimamoto au ni jkt ambayo nikatolea kama mfano tu kwa vijana wanaoenda sasa baada ya kumaliza kidato cha sita, sasa hapo hujaelewa ninj?

Dogo kiri tu kwamba uwezo wako wa kuelewa ni mdogo,haya ndio matatizo ya mulugo. Mtu kasema jeshini wewe unataka kulazimisha kwamba jeshi la juzi juzi baada ya kumaliza form six, kwani umeambiwa kila anaepitia jeshini lazima awe kamaliza form six juzi hapa baada ya utaratibu wa jkt kurudishwa na serkali.

Watu wanejiunga jeshini kila mwaka bila kuhali ipo jkt kwa mujibu wa sheria au haipo, haina maana kulazimisha jambo usilolijua uonekame unajua, kubali tu kamba wewe ni kilaza na uwezo wako wa kuelewa ni mdogo sana.
 
Tuko marafiki watatu wa kiume wa karibu sana tangu shule ya sekondari, Jeshini hadi Chuo Kikuu, tumeoa na tuna watoto, lakini bahati mbaya rafiki yetu mmoja anatembea na mke wa rafiki yetu mmojawapo kwa zaidi ya miaka 5 sasa.

Mimi ninafahamu uovu huo lakini nashindwa kumtonya rafiki yetu mwenye mke kwa kuhofia kitakachotokea. Anayetembea na mke wa mwenzake hajui kama mimi ninajua.

Shemeji anajua kama mimi ninajua kwamba anatembea na rafiki yetu kwa kuniambia yeye mwenyewe, mwenye mke hajui kabisa kama hili linafanyika.
Sijui kama na mke wangu pia kasalimika kwa aina hii.

Nipeni mawazo nifanye nini kwenye hili
[/QUOTE

Niliwahi kukutana na hali hii.
Ushauri ni kwamba,waambie wahusika yaani hao wanaochepuka kwakuwa nae ni rafiki yako.
Mwambie jamaa umejua tabia yake na umpige biti aache mara moja,ikiwezekana kwakuwa huyo mke wa rafiki kakueleza mwenyewe uwaite wote wachepukaji uwaonye kwa hekima waache mara moja kabla hujamweleza mume.
Lakini usithubutu kumwambia mume kabla hujawaonya.
 
Ushiboy umetoa ushauri mzuri nakubaliana na wewe lakini pia msimamo wa mwanamke yawezekana ni die hard na anafurahia huo uchafu na ilikujiokoa anaweza Kama defense mechanism kukuchomea ili kukuweka mbali na mchepuko wake, lakini pia hebu mwite huyo kidume mchepuzi uumpe makavu na kutishia kuvunja urafiki wenu uone reaction yake itakuwaje also ungeweza kwenda mbali zaidi na kutengeneza scenario kwa anayeibiwa kama kipima joto mwambie nahisi rafiki yetu (hapa ni mchepuzi ) anatembea na wife wangu hapo pia pima reaction yake ukiona anaapiza ingekuwa mimi nampiga risas navunja shingo etc achana na huo umpango utakuwa tayar umefaham attitude yake in short expect majanga then stay away .
 
wenzio nimekimbia mbiombio nifungue nione kuna nn hapa kumbe ni utoto wa shule bado huko

hivi best hawa watafungua lini shule maana stori hizi zimejanzana hapa

Hawa bado tunao mitaani si umesikia matokeo ya kidato cha sita yametoka jana
 
kemea huo uovu na mungu atakubariki. mnataka viongozi weny maamuzi magumu halikuwa nyinyi mwafumbia macho uozo unaowazunguka.
kama unadhani kukaa kimya ndio salama yako.... je, vipi siku ikifahamika ulikuwa unajua na ukakaa kimya?
 
Kama mlengwa ndio aliekwambia kuna % nyingi mkeo anagongwa na mme wa mlengwa,Chunguza kaka utabaini mlengwa alicholeta kwako,kwa jicho la tatu naona "siri sirini"

Kwamba jamaa anapiga wote wawili wake za rafiki zake? Hatare sana
 
Soma tena hilo ni swali, jeshini wapi halafu mkato.......... Swali hilo lina maana nilitaka aseme jeshini wapi? magereza, mgambo,polisi, zimamoto au ni jkt ambayo nikatolea kama mfano tu kwa vijana wanaoenda sasa baada ya kumaliza kidato cha sita, sasa hapo hujaelewa ninj?[/QUOTE]
kubali tu kwamba wewe hujui kuhusu majeshi, maana hayo majeshi yote unayoyasema yalikuwepo miaka mingi iliyopita na haukuwa msingi wa hoja yangu, mimi nilikuwa naeleza tu urafiki wetu ulianzia wapi tu basi, aina ya jeshi haikuwa haoja kuu, wewe ndo umetaja jkt ambalo nalo ni jeshi ambalo mwaka 1988 lilikuwa linaadhimisha kufikisha miaka 25 tangu kuanzishwa kwake waliokwenda jkt mwaka huo waliitwa operation miaka 25 ya jkt, inashangaza wewe kuwa mjinga "sio mpumbavu" kuhusu jkt na majeshi yetu mengine.
 
Back
Top Bottom